Msc in Data Science vs Msc in Mathematical Modelling

Achane nayo huyo mtoa mada ni mwehu. Nimeanza kuona majibu yake anzia mwanzo, ni mtu mjinga mjinga.
 
Lakini Mr. ujaribu kuichukulia Data Science kwenye mazingira ya Tanzania utakua umemsaidia vizuri mtoa mada.
 
Hivi Mkuu mtu aliyesomea Msc. Actuarial Science ana'qualify kufanya PHD ya Data Science?
 
Hivi Mkuu mtu aliyesomea Msc. Actuarial Science ana'qualify kufanya PHD ya Data Science?
Watu wanao qualify kusoma PhD ya Data Science kwa UDSM ni wenye M.Sc. ya Computer Science, Computer Engineering, Statistics, Mathematics, Actuarial Science (huyu amesoma programming na statistics ana qualify kabisa), IT, na Engineering mfano Telecommunication na zingine pia zina qualify.
 
Nakubaliana na wewe...
Data science is too narrow.
Ukitafuta degree usijiweke kwenye njia inayokufunga. Always diversify na weka akilini uwe na options maana hujui baadae kazi zitatoka wapi.
Hivi sasa niko katika mchakato wa kutengeneza "data strategy" ya department yangu, kwahiyo nina ukaribu nahili swala
 
Na hyo data science ni kujilimit kwa fursa Bora uwe na diversity, hyo data science wengi wanaweza fanya tu kwenye field mbalimbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…