Mkuu hapa ume mbwelambwela kinyama.Mimi nakushauri kama unataka data science, usiisome data science, ila itafute kozi nyingine ambayo ndani ina data science ndio usome, sababu data ni kitu kidogo sana, na zipo kwenye kila somo wanawatu wanazianalyze na kuprocess kutumia software mbalimbali. Usipoteze akili yako na pesa kwa kusomea data tu,
Wewe umevurugwa wewe, siyo burehaiwezekani kwenye hayo ma vyuo yenu ya hovyo,nje ni very possible, data science inamatch vizuri tu na kozi za social science!
Hii ndio course content ya hiyo data science.Aisee,,,
Bora hata ungekaa kimya
Data ni kitu kidogo eheee....
Ohhh samahani unamaanisha kibongobongo data hazina umuhimu eheee...
Na hizo fesibuku na insta na kadhalika na hii Jf akaunti yako hujui kuwa hizo na hii ni data....
Samahani nitakuwa nimeenda mbali na uelewo wako wa neno data.....
kama hujui dunia ya leo, inaendeshwa na data, iwe data kununua mboga sokoni, kuchungulia simu yako kila saa unavyobonyeza bonyeza, kutumia kadi ya benki , kulogi kwenye mitandao , mzunguko wa pesa, yaani ni ache tu imetosha....
Mkuu hapa ume mbwelambwela kinyama.
Umeongelea kitu usichokijua. Data science ni kitu kikubwa sanaaa kuliko ulivyokielezea. Infact kwenye masters yake ni kama atakuwa ameona a tip of the iceberg kumbe deep down ocean kuna barafu kubwa mno lipo submerged in the water. Angalau angesoma mpaka PHD ndiyo atakuwa amefikia nusu ya data science field.
Tafadhari google kidogo kujua data science ndiyo nini na kina nafasi gani kwenye ulimwengu wa sasa wa tekinolojia ya tehama au teknolojia kiujumla.
Hiyo kitu ni pana na kubwa sana. Ina overlap kwenye field nyingi sana za sayansi, biashara, uchumi n.k.
Hii ndio course content ya hiyo data science.Aisee,,,
Bora hata ungekaa kimya
Data ni kitu kidogo eheee....
Ohhh samahani unamaanisha kibongobongo data hazina umuhimu eheee...
Na hizo fesibuku na insta na kadhalika na hii Jf akaunti yako hujui kuwa hizo na hii ni data....
Samahani nitakuwa nimeenda mbali na uelewo wako wa neno data.....
kama hujui dunia ya leo, inaendeshwa na data, iwe data kununua mboga sokoni, kuchungulia simu yako kila saa unavyobonyeza bonyeza, kutumia kadi ya benki , kulogi kwenye mitandao , mzunguko wa pesa, yaani ni ache tu imetosha....
Hii ndio course content ya hiyo data science.Aisee,,,
Bora hata ungekaa kimya
Data ni kitu kidogo eheee....
Ohhh samahani unamaanisha kibongobongo data hazina umuhimu eheee...
Na hizo fesibuku na insta na kadhalika na hii Jf akaunti yako hujui kuwa hizo na hii ni data....
Samahani nitakuwa nimeenda mbali na uelewo wako wa neno data.....
kama hujui dunia ya leo, inaendeshwa na data, iwe data kununua mboga sokoni, kuchungulia simu yako kila saa unavyobonyeza bonyeza, kutumia kadi ya benki , kulogi kwenye mitandao , mzunguko wa pesa, yaani ni ache tu imetosha....
Go for DATA SCIENCE. It has a wider applications. Mining and analyzing data is very critical in decision making. It's a field that is highly trending and is here to stay.Msaada ndugu zangu.
Nataka mwaka huu nikajiendeleze na masters degree.
Target yangu nikusoma moja kati ya hizo kozi tajwa hapo juu. Najua humu kuna watu wanaufahamu mpana juu ya hayo mambo. Naombeni ushauri nielekee upande gani kati ya hizo kozi mbili
Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Shukran BiggGo for DATA SCIENCE. It has a wider applications. Mining and analyzing data is very critical in decision making. It's a field that is highly trending and is here to stay.
Hii jamiiforum bana ,ngoja nichekeBraza, hawa hawatakuelewa, kwanza ni aidha ni vitoto vidogo au akili zimefubaa na vumbi....
Elimu yenyewe kama unavyojua ni ya kukariri na ya dunia ya tatu..
Tuvyuo twakipuuzii , vilecturer ni vilevi fulani kutwa vinanuka pombe, na vingine vimetoka nje na kuona dunia lakini ndio hivyo fainali imewakutia kwenye vumbi kwahiyo lazima anakula kichwa na kufurahi kuwa na darasa lake zima limefeli ndio anaonekana yuko makini, haachii kenge wapite kirahisi.....kwahiyo product ya hivi vilecturer ndio hawa zombie gradute .....
Aisee bora nilikimbia hili shimo.....
you are very right mkuu,uyu dogo analeta ujuaji wakati hajui. vyuo vingi data science inakua ni minor inayounganisha na undergraduate ama postgraduate major nyingine, au inakua an area of focus tu within a wider program. japokuwa zipo independent program za data science yenyewe.Mimi nakushauri kama unataka data science, usiisome data science, ila itafute kozi nyingine ambayo ndani ina data science ndio usome, sababu data ni kitu kidogo sana, na zipo kwenye kila somo wanawatu wanazianalyze na kuprocess kutumia software mbalimbali. Usipoteze akili yako na pesa kwa kusomea data tu,
Ndo maana kumbe wengi wanadai elimu ya bongo inahitaji kuboreshwa ili twende na dunia inavyokwenda sasa naelewayou are very right mkuu,uyu dogo analeta ujuaji wakati hajui. vyuo vingi data science inakua ni minor inayounganisha na undergraduate ama postgraduate major nyingine, au inakua an area of focus tu within a wider program. japokuwa zipo independent program za data science yenyewe.
Sio ujuaji, sasa ungetoa ushauri badala ya kuanza kutukana ungepungukiwa nini?you are very right mkuu,uyu dogo analeta ujuaji wakati hajui. vyuo vingi data science inakua ni minor inayounganisha na undergraduate ama postgraduate major nyingine, au inakua an area of focus tu within a wider program. japokuwa zipo independent program za data science yenyewe.
Hapana.Sio ujuaji, sasa ungetoa ushauri badala ya kuanza kutukana ungepungukiwa nini?
Hata hao waliosoma njee wakarudi bongo mbona hatuoni impact yao katika maisha ya kawaida,
Wengine hadi wanabaki kuuza makande mtaani.
Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Kwa nini by thesus ina jpa kubwa kulinganisha na by coursework
By thesis huingii darasani kufanya ue, ni reseach mwanzo mwisho. Soo lazima anaesoma awe mwenye uelewa mkubwa wa kujisimamia mwenyeweKwa nini by thesus ina jpa kubwa kulinganisha na by coursework
Ok!By thesis huingii darasani kufanya ue, ni reseach mwanzo mwisho. Soo lazima anaesoma awe mwenye uelewa mkubwa wa kujisimamia mwenyewe
Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Bila Shaka MkuuHii ndio course content ya hiyo data science.
1. Research Methods in science,
hizi research methods huwa zipo covered hata kwenye masomo mengine
2. Problem Driven Group Project
3. Programming in Python and MATLAB, hivi ni vitu vidogo kujifunza na karibia course za science na engineering wanavicover siku hizi.
4. Statistical Methods for Data Science, kidogo hapa utakua mgeni kidogo, ila haitakua tofauti na ile statistical method ya science ya kawaida.
5. Machine Learning Algorithms, hapa ni hesabu sasa, utajifunza algorithim zinazotumika kwenye machine learning, kwa mtu anayezijua hesabu ni vitu vidogo hivi.
6. Data Analysis, Visualization and Use
7. Big Data Analytics,
neno big data lisikuchanganye mkuu, vyote hivi ni vitu vidogo, hapo anamaanisha jinsi ya kuanalyse data nyingi. Unakuta mfano una millions of data, how do you analyse, unaitaka data ya laki tano unafanyaje ili kuichukua ndani ya muda mfupi na mambo mengine yanayohusu data analysis.
Mimi kwa ulewa wangu ukiisoma hii content hapa, unaweza kuicover kwenye masters ya masomo mengine kama ukifanya option ya somo la data science.
Mimi sihitaji kuandika mambo mengi, nina mambo mengi kidogo.
Ila usichukulie neno
Data Science kama data Science, jaribu kuangalia course content na kuona kama vitu vilivyomo humo ndio unavihitaji au la.
Nasema hivyo kwasababu mtu wa mathematics, computer science, statistics na engineering mfano petroleum engineering anaweza kufanya kazi za data science. Kwasababu probably ukiweza kucode kwenye python na Matlab kwa ufasaha then ukailewa na hiyo machine learning na AI kwa ufasaha utakua umeicover hiyo data science kwa 50 percent.
Ni neno lenye maana kubwa sana tena sana kwa dunia ya leo, au labda wewe unaangalia hili neno kama module ya course fulani...7. Big Data Analytics,
neno big data lisikuchanganye mkuu, vyote hivi ni vitu vidogo, hapo anamaanisha jinsi ya kuanalyse data nyingi. Unakuta mfano una millions of data, how do you analyse, unaitaka data ya laki tano unafanyaje ili kuichukua ndani ya muda mfupi na mambo mengine yanayohusu data analysis
Kwa majibu haya hufai kwenda Masters. Wewe ni mpumbavu.