Msc in Data Science vs Msc in Mathematical Modelling

Chris wood

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2020
Posts
1,667
Reaction score
5,056
Msaada ndugu zangu.

Nataka mwaka huu nikajiendeleze na masters degree.

Target yangu nikusoma moja kati ya hizo kozi tajwa hapo juu. Najua humu kuna watu wanaufahamu mpana juu ya hayo mambo. Naombeni ushauri nielekee upande gani kati ya hizo kozi mbili

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
 
Hujasema umesoma degree gani usije kuta ni ngwini wa sosholoji alafu unataka kutupotezea muda hapa.

Anyway, Kwa swala la kujiajiri ningeenda na data science ambayo ukiiweza vizuri utafanya kazi hata za freelance. Ila kama umeajiriwa au uko chuoni na unaweza endelea na hiyo ya modeling ili uwe lecturer..(sina hakika sana ila hii inaweza kuwa issue kujiajiri may be inawezekana ila haitakua na chance kubwa kama data science)
 
Shukran sana ndugu.

socialogy na data science wapi na wapi mkui

haiwezekani kwenye hayo ma vyuo yenu ya hovyo,nje ni very possible, data science inamatch vizuri tu na kozi za social science!
 
Msaada ndugu zangu.
Nataka mwaka huu nikajiendeleze na masters degree.
Target yangu nikusoma moja kati ya hizo kozi tajwa hapo juu. Najua humu kuna watu wanaufahamu mpana juu ya hayo mambo. Naombeni ushauri nielekee upande gani kati ya hizo kozi mbili

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Ningekushauri usome data science. Data science ina future nzuri sana maana kwa sasa na siku zijazo dunia itakumbua na "massive creation of data" Hivyo data managers watahitajika kwa kiasi kikubwa. Unaweza kuwa data analyst katika field tofauti tofauti kama afya, projects mbali mbal, viwanda etc. Kwa hapa kwetu data science haina watu wengi nadhani kwa Master's ni udsm pekee, hivyo baada ya kuhitimu utakuwa na nafasi kubwa ya kunufaika na opportunities nyingi
 
Ushauri mzuri ndugu nitaufanyia kazi

Back
Top Bottom