Kwa wale waliopita vyuo vya IFM na IAA,
Naomba ushauri wenu wa wapi pazuri kusoma hiyo Master ya Accounting & Finance.Ninachohitaji zaidi ni kuhusu Resources na Course contents.
Wapi naweza kutoboa vizuri hasa ikizingatiwa ni muajiriwa na muda wa kujisomea ni mdogo.
Natanguliza shukrani kwa msaada wenu.