Msanii Witness 'Kibonge Mwepesi'

Acha wanamitindo waje watoe maksi. Mimi nimeshindwa kuelewa chochote.
miss chagga na Shunie naomba mpite huku kuchambua picha kwa mtizamo wa kimitindo na kilimbwende
 
mhmhmh uyu nae utadhani c MTZ anajiwekaga rouph utadhani. anatokea west africa
 
Amebadilika sana.

Kitambo sijamwona huyu Mtu.

Kama namwona anavyojitingisha kiunoni
 
Eeeh jamani Mungu huyu.. Sasa, hapo, kacheka, au, kakenua mimeno?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…