Msanii Wakazi amewahi kuimba wimbo gani ukamfanya awe msanii? ana tofauti gani na Steve nyerere?

Leak

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
52,210
42,072
Wasalaam wana jamvi?
Nimeona leo niulize utoafauti kati ya steve na Wakazi kwenye sanaa hasa mafanikio ni upi?
Binafsi naona wote wamekaa ki uhanaharakati sana kuliko kazi zao za sanaa...

Mfano ukiniuliza ni movie gani unaijua aliyofanya steve siwezi kukujibu maa ana uwezo wa kuzungumza kila jambo kuliko kuigiza...
Hata kwa Wakazi ukiniuliza amefanya wimbo gani hit ukamtambulisha kwa watu au ana wimbo gani mzuri siwezi kukujibu maana ana ongea sana kuliko nyimbo zake.....

Steve na Wakazi wote wana matatizo yanayo fanana kabisa...
Wote wanapenda mashindano
Wote wanapenda kiki
Wote wanapenda kuongea sana
Wote fani zao nimewashinda
 
Japo alichoongea kuhusu Steve ni kweli,lkn kusema kweli Wakazi hata mimi simuelewi ana rap nini.Labda sijui maredio presenters washkaji zake lkn sio mkali kivile,kipindi fulani alikuwa yupo karibu na tamaduni ila naona sasa hivi kama wamemkacha kimtindo manake vile vichwa (ONE,Niki,Singasinga ) vikali vibaya mno.
 
Mimi kwakweli nashindwa kumtofautisha na Steve nyerere maana wote ni waongeaji sana lakini hawafanyi vizuri kwenye tasnia zao
 
Wanaosema stive nyerere anakiherehere hawajakutana na wakazi. Huyo wakazi ana kiherehere mjuaji na wakati hajui kuimba wala hatakaa aje kuweza kuimba. Kuna siku nimeona anafundisha wasanii (including diamond&kiba) namna ya kufanya biashara ya muziki. Sasa muulize muziki wake uwa unapigwa wapi? Utaskia povu lake.
 
Lakini cha ajabu alipata shavu la kwenda kutumbuiza kweny final ya big brother south africa. Jamaa hana hit songs ila anaandika balaa na flow za lugha mbili hatari hatari. Ni dizain ya kina one incredible na niki mbishi.
Wakazi huyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Uliza alipataje hilo shavu, au unafikiri bigbrother walikuwa wanajua kuna kiumbe inaitwa wakazi? Hiyo ilikuwa nafasi ya mtu akajifanya anaijua hela Ruge akapeleka boshen ndio huyo wakazi.
 
Acha chuki mzee baba...wakazi hakwenda kule km saplaiz na sizan km ruge anahusika na kuandaa show za big brother kias kwamba kule wapelekewe mtu wasiyemjua. Wangemkatalia mapema tu baada ya kupeleka jina lake kumbuka ile ni show kubwa tulizoea kuona akienda Ay na wengine maarufu je alikosekana msanii mwengine wa kumpeleka baada ya uyo unaesema alijifanya anaijua hela!? Wakati ile show ni shavu zuri la kujitangaza nan angekuwa na ubavu wa kulikataa.
Uliza alipataje hilo shavu, au unafikiri bigbrother walikuwa wanajua kuna kiumbe inaitwa wakazi? Hiyo ilikuwa nafasi ya mtu akajifanya anaijua hela Ruge akapeleka boshen ndio huyo wakazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli hajui kuimba ila anajua kurap
Wanaosema stive nyerere anakiherehere hawajakutana na wakazi. Huyo wakazi ana kiherehere mjuaji na wakati hajui kuimba wala hatakaa aje kuweza kuimba. Kuna siku nimeona anafundisha wasanii (including diamond&kiba) namna ya kufanya biashara ya muziki. Sasa muulize muziki wake uwa unapigwa wapi? Utaskia povu lake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasalaam wana jamvi?
Nimeona leo niulize utoafauti kati ya steve na Wakazi kwenye sanaa hasa mafanikio ni upi?
Binafsi naona wote wamekaa ki uhanaharakati sana kuliko kazi zao za sanaa...

Mfano ukiniuliza ni movie gani unaijua aliyofanya steve siwezi kukujibu maa ana uwezo wa kuzungumza kila jambo kuliko kuigiza...
Hata kwa Wakazi ukiniuliza amefanya wimbo gani hit ukamtambulisha kwa watu au ana wimbo gani mzuri siwezi kukujibu maana ana ongea sana kuliko nyimbo zake.....

Steve na Wakazi wote wana matatizo yanayo fanana kabisa...
Wote wanapenda mashindano
Wote wanapenda kiki
Wote wanapenda kuongea sana
Wote fani zao nimewashinda
Abacus

Dengue fever...nominated Kora2016.
 
Back
Top Bottom