MSANII WA UCHORAJI KIPOFU.


PROFESSOR JOACHIM

PROFESSOR JOACHIM

Member
Joined
Oct 11, 2015
Messages
49
Likes
25
Points
15
PROFESSOR JOACHIM

PROFESSOR JOACHIM

Member
Joined Oct 11, 2015
49 25 15
Usiogope kukosea, ogopa kutokujifunza kilichosababisha ukosee.

Wanaofanikiwa sio wasiokosea, bali wale wanaojifunza kilichoawafanya wakosee, hivyo hurekebisha makosa yao na hujaribu tena na tena na mwisho HUFANIKIWA.

Unapoziendea ndoto zako usiogope kukosea, bali chukulia kukosea kama fursa ya kujifunza zaidi ili ufanikiwe.

Maisha ni malengo, naam malengo ni sawa na NJIA, bila njia huwezi kufika popote. Mtu asiyekuwa na malengo ni maiti inayotembea.

Kitu kibaya kulikochochote si kifo bali ni MAISHA BILA MALENGO. Na Dr. Myles Monrue.

Hakuna aliyepanga kuja duniani. Kila mtu aliletwa duniani bila kuulizwa anachagua kuja duniani au la? naam alipewa jinsia yake bila kuulizwa anataka kwa mwanamke au mwanaume?

Naam hakupewa achague kuzaliwa familia ya kitajiri au ya kimaskini, naam kuzaliwa ktk nchi ya vita au amani. Naam muumbaji wa miisho ya ulimwengo alitambua kua ameweka uwezo usiokuwa na kifani ndani ya mtu unaomwezesha KUSHINDA NA ZAIDI YA KUSHINDA ktk mazingira yeyote mtu aliyozaliwa.

Kama umezaliwa ktk familia maskini ni ili uifanye kuwa tajiri. Kama umezaliwa katika nchi maskini ni ili uifanye kuwa tajiri, kama umezaliwa katika jamii ya kichawi ni ili uwafanye kuwa WATAKATIFU!

Naam mpumbavu akizaliwa husema "nitaishi kama wengine wanavyoishi". Lakini mwenye hekima akizaliwa husema "NITAISHI KWA USAHIHI BILA KUJALI WENGINE WANAISHIJE".

Siku zote mpumbavu huwa sawa na wengine tu. Naam akikuta baba yake ni mlevi na yeye anakuwa mrevi, naam kama mama yake ni mzinzi na yeye hufata mkondo. Bali mwenye hekima huona na kubadilika kisha kuwabadilisha wengine.

Umekuta babu na baba wanakwenda kanisani na wewe unakwenda tu. Umewakata kanisani wanaabudu sanamu na wewe unaabudu tu!

Bendera kifata upepo!

Tangu uende msikitini/kanisani umepata faida gani za kimadili unazomshinda mpagani?

Wachawi, wazinzi, majambazi, waongo wamejaa msikitini na makanisani.

Naona wapagani kama mimi tusiokuwa na dini tunaafadhari.

Ulifata dini yako kwa nia njema ya kumuabudu Mungu lakini hukujua duniani si KILA KING'AACHO NI DHAHABU.

Kama dini inatoka kwa Mungu kwanini imeshindwa kukufanya kuwa mtakatifu?

Kama dini inatoka kwa Mungu kwanini Mungu alimleta Bwana Yesu duniani kuwaokoa wanadamu wakati dini zilikuwepo?

Kama dini inatoka kwa Mungu kwanini viongozi wa dini walimsurubi bwana Yesu?

kama dini zinatoka kwa Mungu kwanini zinawazuia watu wasiokoke?

Ukivaa mawani ya bluu, kila kitu utakiona ni cha bluu.

Kipofu kichaa hudai anaona kuliko madaktari wa macho. Kama unaakili timamu karibu kwenye ukurasa wangu wa facebook ujifunze tofauti ya dini na wokovu. Ujue kuwa duniani kuna dini zaidi ya 4,200 na kila dini ina mungu wake na ina uhasama na dini nyingine. Na dini zote hizo ni za shetani ukiwemo ukristo na uisramu. Dini ni njia ya mtu kumtafuta Mungu bali wokovu ni njia ya Mungu kumtafuta mtu. Naam Bwana Yesu hakuleta dini ya kikristo bali alileta WOKOVU. Ukimpokea Bwana Yesu atakuokoa na kukufanya kuwa mtakatifu, lakini dini ya kikristo/kiisramu n.k haziwezi kukufanya kuwa mtakatifu, naam ninjia za kwenda jehanamu zilizoandikwa kua ni njia za mbinguni ili kuwadanganya wajinga. Naam WAJINGA NDIO WALIWAO.

Kama unataka kuokoka sasa, bofya jina langu hapo juu, utaingia ktk akaunti yangu, soma post inayosema "TUNZA MUDA KAMA MBONI YA JICHO" ukiielewa na kuamini UTAOKOKA.
 

Forum statistics

Threads 1,273,117
Members 490,304
Posts 30,472,083