Msanii utamjua tu

Mlangaja

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
579
218
Picha hii inaonesha wazi tofauti katika ya kiongozi na bwenyenye.
msaniiutamjuatu-1
 
Hawezi kukundua kwamba sisi si mazuzu kwa sababu hata baba wa taifa aliwahi kusema bado ni kijana. Sitiari hii ina maana sana. Sentensi hii kiisimu inaweza kuchambuliwa hivi.
1. Kijana ana uelewa mdogo ukilinganisha na mtu mzima.
2. Kija mara nyingi anakurupuka.
3. Kijana hawezi kuongoza kwani hana uzoefu
4. Kijana anapenda kujirusha.
5. Mara nyingi kijana hakubali kukosolewa.
6. Kijana habebi majukumu sawa sawa.
n.k
 
Mbona kama mmoja ktk hao wawili anaogopa kucharazwa bakora! hheheheh! amekaa kimachalemachale loooll!
 
huyu ndiye aliyekaa chini kwenye vumbi wakati wa kampeni kweli au naota kweli msanii ni msaani ndio maana kafungua JK Jazz Band na wanamuzi wake wako kwenye baraza lake la mawaziri
 
Hatuna rais bali ni usanii mtupu, halaf anataka kujifananisha na Nyerere!
 
Ole wao wanaowabebesha watu mizigo ambayo wao hawaigusi hata kwa vyanda vyao.
 
Back
Top Bottom