Msanii utamjua tu

Msanii utamjua tu

Mlangaja

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
579
Reaction score
218
Picha hii inaonesha wazi tofauti katika ya kiongozi na bwenyenye.
msaniiutamjuatu-1
 
Tuliwahi kuwa na kiongozi ila kwa sasa tuna mabwenyeye tu. Msaniiutamjuatu.JPG
 
Anahisi watanzania tuko mazuzu kivile. Afadhali aendelee kuuchapa usingizi ikulu.:lol:
 
Hawezi kukundua kwamba sisi si mazuzu kwa sababu hata baba wa taifa aliwahi kusema bado ni kijana. Sitiari hii ina maana sana. Sentensi hii kiisimu inaweza kuchambuliwa hivi.
1. Kijana ana uelewa mdogo ukilinganisha na mtu mzima.
2. Kija mara nyingi anakurupuka.
3. Kijana hawezi kuongoza kwani hana uzoefu
4. Kijana anapenda kujirusha.
5. Mara nyingi kijana hakubali kukosolewa.
6. Kijana habebi majukumu sawa sawa.
n.k
 
Mbona kama mmoja ktk hao wawili anaogopa kucharazwa bakora! hheheheh! amekaa kimachalemachale loooll!
 
huyu ndiye aliyekaa chini kwenye vumbi wakati wa kampeni kweli au naota kweli msanii ni msaani ndio maana kafungua JK Jazz Band na wanamuzi wake wako kwenye baraza lake la mawaziri
 
Hatuna rais bali ni usanii mtupu, halaf anataka kujifananisha na Nyerere!
 
Uko sahihi, SASA HIVI WANAOGOPA KUCHAFUA HATA NGUO ZAO TU, JE IWEJE MASLAHI YA NCHI NA WANANCHI?
 
Ole wao wanaowabebesha watu mizigo ambayo wao hawaigusi hata kwa vyanda vyao.
 
Back
Top Bottom