Huyu jamaa kiukweli huwa ni mshamba sanaaKuna Siku hyo ney alihojiwa na redio moja anasema hamini kwenye mambo ya dini wala kanisa
Ova
Katoa song mpya inaitwa MUDA WETU ndo anaitafutia promoIsije kuwa kuna single ikimbioni kutoka.....maana kama unajenga kanisa kama biashara sasa ikitokea waumini wako vipato vyao ni kidogo utaweka na kianzio cha kutoa sadaka n.k
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hii comment ni nyokoHebu fikiria Mhubiri anakuwa Nay pale mbele
Waimbaji ni Vanessa, Dayna, ruby na jux
Wanakusanyaji wa sadaki ni weusi
Mchungaji msaidizi ni diamond
Wapigaji wa vyombo barnaba, ben paul na belle 9
Kisha mzee wa kanisa ni Alikiba
Mzee wa kanisa msaidizi ni Ommy dimpoz
Wakaribishaji wa wageni ni wema, Nandy, wolper, Tunda, Hamisa
Kisha wanaopiga beat za nyimbo ni dj fetty, zero
Na mchovu ndio kiongozi wa ratiba ya kanisa
Wewe lazima kila jpili uhuzulie church tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mkuu wewe AnakuonaHebu fikiria Mhubiri anakuwa Nay pale mbele