Msanii mkongwe wa India, Om Puri afariki dunia

kedrick

JF-Expert Member
Apr 25, 2015
5,069
4,895
Habari toka india zinasema msanii mkongwe na legend wa Bollywood Om Puri amefariki dunia january 6 2017 uko nyumbani kwake Mumbai.

Chanzo cha kifo ni mstuko wa moyo ambapo alikutwa chumbani kwake kitandani amekufa, Om Puri amefariki akiwa na miaka 67.

Baadhi ya movie alizo wahi ingiza ni dabang, Don 1 and 2, Angneepath, Mumbai express, Dev, Chup chup ke, Dirty politics, OMG "oh My God", pyaar to hon hi tha, Farz

80974bcb65f48da3039314822b450260.jpg

94e5360e624291fce7b2a623c81c56a6.jpg

===========

Veteran actor Om Puri's death left his fans and friends in Bollywood shocked. The actor passed away early on Friday morning after suffering a massive heart attack. The actor was 66.

An actor par excellence who has worked in Indian films across various languages, Pakistani, Hollywood and British films, Om Puri's death left his friends and colleagues shocked. Tributes for the actor started flowing immediately after the news of demise broke.

Aamir Khan, Anupam Kher, Mahesh Bhatt, Soni Razdan, Boman Irani were the first few to take to Twitter.

More at: RIP Om Puri
 
Sisi wazee wa kale tunamkumbuka sana huyu mtaalam wa kuigiza police mpelelezi miaka ya 1990's...nakumbuka ilikuwa miaka hyo kila JUMAPILI saa nane mchana ktk station ya CTN tulibuludika san nikiwa na wadogo zangu na movie za kihindi pamoja na wenzake kama Amita bachani,salman khan,bab Deo,San Deo nk,pia alikupo jamaa flan alipenda kuigiza kama adui kuu alikuwa na jicho moja jina nahs ni Gurshan!!!!Mungu akupe wepes katika adhab zako ktk mauti ndgu inspector police wa mumbai!
 
R.I.P
Ni juzi tu nimetoka kumuona akiwa katika filam ya DON.
 
Daah! India nawajua mithun chakrabot na amir khan wa 3idiots tu
 
Habari toka india zinasema msanii mkongwe na legend wa Bollywood Om Puri amefariki dunia january 6 2017 uko nyumbani kwake Mumbai.

Chanzo cha kifo ni mstuko wa moyo ambapo alikutwa chumbani kwake kitandani amekufa, Om Puri amefariki akiwa na miaka 67.

Baadhi ya movie alizo wahi ingiza ni dabang, Don 1 and 2, Angneepath, Mumbai express, Dev, Chup chup ke, Dirty politics, OMG "oh My God", pyaar to hon hi tha, Farz

80974bcb65f48da3039314822b450260.jpg

94e5360e624291fce7b2a623c81c56a6.jpg

===========

Veteran actor Om Puri's death left his fans and friends in Bollywood shocked. The actor passed away early on Friday morning after suffering a massive heart attack. The actor was 66.

An actor par excellence who has worked in Indian films across various languages, Pakistani, Hollywood and British films, Om Puri's death left his friends and colleagues shocked. Tributes for the actor started flowing immediately after the news of demise broke.

Aamir Khan, Anupam Kher, Mahesh Bhatt, Soni Razdan, Boman Irani were the first few to take to Twitter.

More at: RIP Om Puri
R.I.p on puri mi nilikuwa naipenda pia yake tu
 
Back
Top Bottom