Kumthikilidha. Ndiyo kitu gani??!!Alitakiwa aandike "kila mtu achague anayetaka kumthikilidha"
Tuone namna alivyokuwa akiisambaza.
Inasemekana alizunguka round about, au huwa wanamzushia tu Mwenyekiti??Yeye anavyeti siyo huyo mapua wa ilala
In God we Trust
Hayo ndio matatizo ya kuambatana na mwenyekiti kama kivuli, korona imekuingia mpaka kwenye ubongo.Mapua wa ilala anasambaza upuuzi
In God we Trust
Zoom vizuri kiongozi,utauona sema ndo hivyo mpaka uzoomBado sambwanda
In God we Trust
Kakosea kwenye msabwada, kambaniaAliye chora hiyo sura kaipatia sana