Dah! Kesho utasikia amefunguliwa kesi kwa kosa la kuvaa suruali ya kijeshi.
"Chezea magamba weye"
nishawahi kumtweet kipindi fulani kuwa harakati zake na mawazo yake yanahitajika sana katika siasa zetu na yeye akaichukua tweet yangu nakure-tweet na watu wengi waliunga mkono hoja hyo....so am happy now kajiunga rasimi kwa wapigania haki
yaani hii breking news,,,imenikuna mhnoooooooooo,karibu karibu j nyumbani tuendeleze ukombozi huku mtaani nishangwe mhnooooooooo,nakupongeza sana kamanda j wahamasishe wengine waje nyumbani,nadhani sasa afande sele,na mwana fa,wapo njiani,haaaaaaaaaa,hongera kamanda sugu,walete walete nyumbani,waambie[cdm]ndio chama pekee tumaini la watanzania,huku hamna kuonga ili upate ubunge,hiki ni chama cha [wakulima na wafanyakazi na watoto wa mskini] letsgo kamanda,msikonde wakuu, huyu hapaView attachment 94611
hahahahaha huwiiiiiiiiii!!!!!!!! Kwaheri ccm,ccm,kudadeki chama cha mafisadi,tuwazomeee haooooo ccm,karbu sana jembe,afande sele,roma,kala jelemayar,mwana FA,J moo more tekiniki.
ivi roma nae ni chama gani?
Jenero nasonga rest in peace shida...., Karibu Jay
Ndio Mzee, Ndio mzee. Great Hongera ndiyo kwanza kunaelekea kukucha lazima mwisho wa udhalimu utafikiwa tu.
J wa Mitulinga Mchawi wa RYMES mti mkavu karibu kamanda
piga makofi tafazali
machozi jasho na damu kwa watanzania,,,,,,duh hili pigo ni kubwa sana
Jay Msolopa ganzi mwanasiasa aliyebarikiwa na Mungu kusini mwa jangwa la sahara.... karibu CHADEMA Bro
Hapo vipi?...hapo sawaaaaaaaaaaaaa....kindergaten mpaka chuo kikuu.
Chorus:
Naamini nitashinda mwenyezi nioneshe nuru,
Wenye roho mbaya na chuki wasinidhuru,
Visa ndiyo vimetanda na wanga kwenye msururu,
Ipo siku ntashinda Profesa nitakukuwa huru.
Verse:
Naamini nitashinda,niko vitani dhidi ya shetani.
Dhamira iliyo kichwani ni kumkana na kumlaani.
.............................
Hapo vipi!!!?