Maseto
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 944
- 545
Wengi wanaoingia bongo movie,hawana elimu ya ya kutosha,wengi ni waliofeli kidato cha NNE,kiasi kwamba,ufahamu wao,wa mambo ni kidogo sana,hawawezi kutofutisha,mazingira ya msibani,kwenye kupokea tuzo,au harusini,ili wavae mavazi kulingana na mazingira na shughuri wanayoudhuria,
Ni mwendo wa kuuza sura tu,nguo za ajabu,uzungu mwingi!!,
Kwanini msivae kanzu,suti,kwa wadada tupieni makanga ya kutosha,na miwani ya jua kidogo,harafu umapepe muache,hapo ni msibani,hatukuja,kuigiza,wala kungaria mitikisiko ya misambwanda,
Mwenzenu richa ya umaarufu,alikuwa hana kitu (pesa ya kutosha kulingana na hadhi yake),angekuwa vzr,asinge lazwa ki hospitari cha kata mama ngoma,angeenda regency,tmj,au aghakan,au hata Nairobi,Leo Dada yetu angekuwa hai,hili nalo mlitafkari,sio kukenua meno,wakati mond anamsalimia Kiba
Nakubaliana na wewe sana.Mimi huwa naangalia Isidingo mara kwa mara.Kwa kweli kuna tofauti kubwa sana.Waigizaji wengi kwenye Isidingo wana elimu hadi za chuo kikuu katika mambo wanayoigiza.
Hata teknolojia ya upigaji picha huwa inachangia sana kunogesha maigizo.Namna picha inavyovutwa hususan katika tukio la kuonyesha hisia kama vile kukasirika au kufurahi huongeza sana mvuto.
Na waigizaji wa Isidingo wanalipwa Mishahara ya maana kabisa kama wafanyakazi wakubwa tu.Muigizaji anayelipwa kiasi kidogo zaidi huwa hakipungui milioni 7 za kitanzania kwa mwezi.