Mbulu
JF-Expert Member
- Apr 15, 2015
- 5,620
- 5,510
tachi scriniMkononi ulishikilia simu yako ya tachi au sio?
tachi scriniMkononi ulishikilia simu yako ya tachi au sio?
Hawa jamaa banaInashangaza na kusikitisha kwamba mtu anajifanya kuzimia wakati mkono una nguvu za kushika kitambaa cha mkononi (leso).
Kuna msanii mwingine anajifanya ameshindwa kuendelea kuimba akaangua kilio.
Ni ajabu wasanii wetu kufanya kama wako kazini kwao kwenye msiba wa mwenzao.
Kwenye msiba wa Kanumba wasanii waliunda kamati ya mazishi ambayo sehemu kubwa waliiba michango ya waombolezaji.Lakini safari hii wasanii baada ya kuona hakuna cha kuiba wameamua kufanya usanii (kwenda location).
haaahaaaa idriss utafikiri ndio mchinjaji ila huyo jomba alianzia kuzimia kwenye gari nimeona youtubeHa haaa haaaaaa umenichekesha sana hapo uliposema "Kama mbuzi anaenda kuchinjwa"
Lol aiseee
wanatafuta kick mitandaoni espesho instaKwenye msiba wowote wakiwepo hawa wehu wa bongo movie jua lazima tasnia ifanye kazi bila kuigiza kuzima wanasema msiba unakua haujanoga kabisa.
Niajiri mkuuMmh kazi ipo
Idriss hajawahi kua na akili
Wanadai eti huyo jamaa kazimia lakini kashika kitu mkononi!SIJAGUNDUA MAKOSA HAPO BADO
Dr. Nae bongo muvi tu hapo.Nimesikiliza radio sasa efm wakimuhij dr.juu ya hii na ametoa ufafanuz kasema inawezekana 100%
Wengi wanaoingia bongo movie,hawana elimu ya ya kutosha,wengi ni waliofeli kidato cha NNE,kiasi kwamba,ufahamu wao,wa mambo ni kidogo sana,hawawezi kutofutisha,mazingira ya msibani,kwenye kupokea tuzo,au harusini,ili wavae mavazi kulingana na mazingira na shughuri wanayoudhuria,Sijawahi kupendezwa na matukio au kazi ya hawa wanaitwa Bongo Movie. Mara nyingi huwa nastaajabishwa na vitendo vyao na kazi zao. Kwa mfano, mtu anaigiza kama jambazi lakini cha ajabu, anapoingia ndani ya nyumba anayoivamia au kuifanyia ujambazi, unakuta mtu huyo anavua viatu.
Kuna movie moja niliwahi kuiona zamani sana, wakati jamaa wanafanya uigizaji, ikasikika sauti kwa mbali ikisema, 'muwe makini msivunje vitu mnapoigiza'.!!
Kwenye hii picha inaonesha kuna mtu kazimia au kapoteza fahamu 'unconsciousness' kitendo cha kuzimia au kupoteza fahamu maana yake ni kwamba, viungo vya mwili navyo vinapoteza utendaji kazi wake wa kawaida kwa wakati fulani. Sasa ukiangalia picha hii kwa umakini, utagundua jamaa inaedaiwa na kuaminika kazimia, ameshika handkerchief yake vizuri sana. Je, hii ni kawaida kweli au ndiyo uigizaji hata kwenye misiba?
Bongo Movie, jitathiminini, maana wengine hata mavazi mliovaa si mavazi ya kwenda msibani. It's like mnaenda kwenye maonesho, mnaatia aibu. Igeni kwa wenzenu akina Denzil Washington, Will Smith, Arnold Schwarzenegger na wengineo. Wanapokuwa kwenye occasion kama hizi, basi huvaa kiheshima, siyo nyie mnavaa vijisuruali kama mnacheza kiduku. Mmeniboaa sana, na mnazidi kunifukuza badala ya kunivuta kwenye tasnia yenu.
View attachment 754022