Acheni kukuza vitu,hiyo ndege imekodishwa inatumika kwenye matangazo ya Show ya Wasafi Kenya basi.Sehemu gani wameandika hivyo,mbona mnalisha maneno ambayo yeye mwenyewe hajayatamka,
Kama mafanikio haya ni kwa nguvu ya Mungu tu nampongeza sana na kumuombea afanikiwe zaidi maana kwake tunaona uhalisia wa ule msemo wa wanyamwezi usemao:
".....FROM ZERO TO A HERO.....".
Maana ndani ya miaka 10 tu iliyopita mafanikio aliyofikia, na kwa umri wake, si ya kitoto......
Acheni kukuza vitu,hiyo ndege imekodishwa inatumika kwenye matangazo ya Show ya Wasafi Kenya basi.Sehemu gani wameandika hivyo,mbona mnalisha maneno ambayo yeye mwenyewe hajayatamka,
Nikasirike wapi ndugu wakati mimi mwenyewe nafuatilia hiyo show na najua hiyo ndege imekodishwa ,hebu tuwe wakweli hata kama unampenda Mondi ila hiyo ndege imekodishwa au inamaana ile coster inayobeba wasanii katika mikoa inapofanyikia Wasafi Festifal nayo ni ya Mondi?.(Wabongo wape picha ila habari watamalizia wenyewe)