Msanii Diamond akabidhiwa shule Sumbawanga,sasa kuitwa jina lake "Diamond"

kwa nafasi yake, nickname is best thn his real name...wengi wanamjua kwa jina la kisanii diamondplatnumz...na ibaki hivyo,kwa jina lake halisi itakuwa rahisi kusahaulika kama ndo yeye alikusudiwa...jina lake la kisanii ndo litaishi milele na milele...mfano mzuri 2pac, bob marley, P.I.G, etc
Ok
 
Hii ni habari njema kwa wasanii wa Tanzania kuona wanapewa heshima ya kutosha,tulishazoea kuona wanasiasa tu ndio wanapewa heshima kama hii,sasa ni zamu ya wasanii natamani siku nyingine kusikia Marijan rajabu primary school au King Majuto Road,au Ali Kiba Hospital,hapa tuweke team pembeni heshima ya Kitaifa ya wasanii wetu inahitajika sana mana wao ndio pekee wanaoitangaza nchi yetu kimataifa na sio team ya taifa wala Mh.Lusinde.View attachment 960484
Kula uliwe , wewe unataka ule wewe tuuu kuliwa Utaki?
 
68m ni balaa aiseee, Hongera zake kwa kipindi hiki vyuma vimekaza hzo ni pesa mingi sana
 
Safi sana waliopata idea ya kumshirikisha Diamond kwenye ujenzi wa shule hiyo!
Wangesema waendelee kuchangishana wananchi hiyo shule kukamilika kwake ingekua ni hadithi!!
Mfano mdogo ni Ujenzi wa maabara tatu kwa shule za sekondari za Serikali ambapo agizo lilitolewa kipindi cha JK lakini hadi leo bado kuna shule hazijakamilisha
 
Back
Top Bottom