Msanii Darasa akiwa na Hanscana wapata ajali ya gari huko Kahama

Queen V

JF-Expert Member
Jan 19, 2012
776
1,330
Mwanamuziki Darasa amepata ajali maeneo ya Ntobo barabara yakuelekea mgodi wa Bullyanhulu wilaya ya Kahama mkoa wa Shinyanga. Waliokuwa garini wote wamenusurika.

Katika gari hiyo pamoja na watu wengine alikuwa na mtayarishaji wa video aliye kwenye chart Hanscana.



15492537_10206378362818256_6093491712623732141_n.jpg
15492570_10206378362218241_7745684630275410784_n.jpg
 
Wale wana roho mbaya sana . yaani ujuwe Daras sa kampoteza kabisa domo , midomoni mwa watu . Sasa wale watu wafupi hawajapenda kabisa .
Asee kweli kampoteza DOMO mbayaa!

Atakuwa anahaha sasa hivi manake DARASA NDO HABAREE YA MUJINIII
 
Back
Top Bottom