Ashanti alianza kazi kama muandishi wa nyimbo na mara nyingi aliandika chorus. Ikifika kipindi kulikwa na chemistry kati ya Ja rule na Jeniffer lopez, hivyo ashanti ndo alikuwa anaandika chorus atazoimba J lo,
Ila sasa wakati ashanti ameingizia sauti ambayo j lo atazifuatisha katika kurekodi wimbo mpya na Ja Rule. Ndipo recording label ikagundua kuwa sauti yake inaleta harmony nzuri kwa Ja Rule pengine kuliko J lo
Huo ndio ulikuwa mwanzo wa Ashanti kushine.
Lakini pia Ashanti hakuwahi kuonekana kama great singer Ila hit maker na princess of RnB. Kwa sababu mwanzoni mwa miaka ya 2000 nyimbo za ballads ambazo zilihitaji powerful vocals za watu kama whitney, Celine, Mariah, R kelly zilianza kushuka kiumaarufu na hivyo kutoa njia kwa average singers kama Ashanti, Keyshia Cole kufanya vizuri kwa sababu RnB ilizidi kushika kasi..
Kwa hiyo fanya research zaidi mkuu maana kuna data nyingi kama albums, nyimbo kali, awards na hata kuanguka kwake hujaongelea.. ππ½ππ½ππ½