Msanii alieimba wimbo wa Mungu ni Mungu tu ali copy toka kwa Djassa wa Congo

MALG

JF-Expert Member
Sep 14, 2013
274
204
Msanii wa nyimbo za injili aliyeimba wimbo wa Mungu ni Mungu tu ka copy wimbo wa Djassa Djassa.Djassa Djassa ni comedian wa Kongo aliimba wimbo mtu ni mtu tu.
 

Attachments

  • DJASA DJASA Mtu ni Mtu tu.mp4
    2.3 MB · Views: 36
Msanii wa nyimbo za injili aliyeimba wimbo wa Mungu ni Mungu tu ka copy wimbo wa djassa djassa.Djassa djassa ni comedian wa Kongo aliimba wimbo Mtu ni mtu tu.
Sio mbaya aliimba kumtukuza Mungu.

Nyimbo nyingi za dini za kiswahili nyingi ni copy kutoka South Africa na Nigeria.

Hakuna ubaya wote wanatufikishia ujumbe.
 
Tusubiri washitakiane ...album zao si huwa zina copy right?
 
Msanii wa nyimbo za injili aliyeimba wimbo wa Mungu ni Mungu tu ka copy wimbo wa Djassa Djassa.Djassa Djassa ni comedian wa Kongo aliimba wimbo mtu ni mtu tu.
acha upuuz kila kitu cha nje ndie kimetangulia ? tuthibitishie kuwa huyu alirecord akauachia tarehe flani na huyu tarehe flan...halafu huyo ni comedian ..kama anavyofanyaga joti kurudia nyimbo za watu
 
Back
Top Bottom