S Skillionare JF-Expert Member Joined Nov 6, 2011 Posts 1,190 Reaction score 528 Mar 4, 2014 #1 heshima mbele wakuu natakiwa kuripoti JKT msange 823 kj ....wakuu naomba maelekezo iko pande zipi huko Tabora na usafiri mimi natokea Arusha.
heshima mbele wakuu natakiwa kuripoti JKT msange 823 kj ....wakuu naomba maelekezo iko pande zipi huko Tabora na usafiri mimi natokea Arusha.
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,273 Reaction score 108,270 Mar 4, 2014 #2 Hiyo kambi nasikia ina mateso sana, hata bungeni imeshalalamikiwa... Ngoja wenye kuifahamu haswa ipo Tabora kitongoji gani wakueleze..
Hiyo kambi nasikia ina mateso sana, hata bungeni imeshalalamikiwa... Ngoja wenye kuifahamu haswa ipo Tabora kitongoji gani wakueleze..
mkonyezaji Senior Member Joined Jan 22, 2014 Posts 154 Reaction score 20 Mar 4, 2014 #3 Mi naijua ilipo, kwanza niambie we ni shabiki wa chama gani cha siasa
S Skillionare JF-Expert Member Joined Nov 6, 2011 Posts 1,190 Reaction score 528 Mar 4, 2014 Thread starter #4 mkonyezaji said: Mi naijua ilipo, kwanza niambie we ni shabiki wa chama gani cha siasa Click to expand... sina chama mkuu...nijulishe mkuu kambi iko vipi...?
mkonyezaji said: Mi naijua ilipo, kwanza niambie we ni shabiki wa chama gani cha siasa Click to expand... sina chama mkuu...nijulishe mkuu kambi iko vipi...?
aka2030 JF-Expert Member Joined Jan 5, 2013 Posts 2,672 Reaction score 3,737 Mar 4, 2014 #5 Kuna mdogo wangu pia kapangiwa huko hebu tupasheni habari
S Skillionare JF-Expert Member Joined Nov 6, 2011 Posts 1,190 Reaction score 528 Mar 4, 2014 Thread starter #6 aka2030 said: Kuna mdogo wangu pia kapangiwa huko hebu tupasheni habari Click to expand... amesharipoti mkuu maana mm nimepatahabari ya kwenda huko ...!
aka2030 said: Kuna mdogo wangu pia kapangiwa huko hebu tupasheni habari Click to expand... amesharipoti mkuu maana mm nimepatahabari ya kwenda huko ...!
H herbertcharles Member Joined Dec 8, 2013 Posts 59 Reaction score 12 Mar 4, 2014 #7 Skillionare said: heshima mbele wakuu natakiwa kuripoti JKT msange 823 kj ....wakuu naomba maelekezo iko pande zipi huko Tabora na usafiri mimi natokea Arusha. Click to expand... Tabora,usafiri unaanzia Tabora mjini barabara ya kuelekea ulyankulu kama km 27
Skillionare said: heshima mbele wakuu natakiwa kuripoti JKT msange 823 kj ....wakuu naomba maelekezo iko pande zipi huko Tabora na usafiri mimi natokea Arusha. Click to expand... Tabora,usafiri unaanzia Tabora mjini barabara ya kuelekea ulyankulu kama km 27
Makamee JF-Expert Member Joined Nov 29, 2013 Posts 2,029 Reaction score 1,201 Mar 4, 2014 #8 Skillionare said: amesharipoti mkuu maana mm form ndio nimeipata ...! Click to expand... Form umeipata wapi au wewe ndo wale wa Baba kantuma?
Skillionare said: amesharipoti mkuu maana mm form ndio nimeipata ...! Click to expand... Form umeipata wapi au wewe ndo wale wa Baba kantuma?
M Mugaga JF-Expert Member Joined Jan 18, 2012 Posts 413 Reaction score 201 Mar 4, 2014 #9 Kuna gari za Arusha kwenda Tabora ila NBS ndio usafiri wa uhakika,ukifika Tabora mjini kuna mabasi yanayoelekea Ulyankulu unapanda hayo umbali ni kama km 27 kutoka Tabora mjini.Kila la heri mkuu.
Kuna gari za Arusha kwenda Tabora ila NBS ndio usafiri wa uhakika,ukifika Tabora mjini kuna mabasi yanayoelekea Ulyankulu unapanda hayo umbali ni kama km 27 kutoka Tabora mjini.Kila la heri mkuu.
kaburungu JF-Expert Member Joined Mar 9, 2011 Posts 3,884 Reaction score 7,337 Mar 4, 2014 #10 mkonyezaji said: Mi naijua ilipo, kwanza niambie we ni shabiki wa chama gani cha siasa Click to expand... Umefanya nicheke sana kwa hilo bandiko lako. Sent from my iPhone using JamiiForums app.
mkonyezaji said: Mi naijua ilipo, kwanza niambie we ni shabiki wa chama gani cha siasa Click to expand... Umefanya nicheke sana kwa hilo bandiko lako. Sent from my iPhone using JamiiForums app.
Prince Akeem JF-Expert Member Joined May 26, 2013 Posts 886 Reaction score 382 Mar 4, 2014 #11 ipo msange mkuu
A armando78 Member Joined Aug 24, 2013 Posts 45 Reaction score 2 Mar 5, 2014 #12 nichek hapa utankuta 0757168029