Msando vipi tena



wacha tu kaka Mungu angerudisha refresher ya udsm hall 1 nadhan maisha ya kikatili ya kina dowans wala yasingetuumiza kichwa....kkaka komaa nao muda ukifika utawatell wenyewe wacha wajambiane kichama na kiserikali weka mtego wako pale pale ..nikumbuke kwenye kaufalme
Bwaaaabwaaaaa hiiiiiiiiiiggggggggghhhh ontime ma br
 


will be back bro matter of time;ngoja tumalizane na hawa vichwa ngumu wakina dowans huku tunakimbia kuwalipa huku wanakatumia ka FEBRUARY kutumia mitambo yao utafanyaje lakini na kabishara chetu ndicho hako ka samaki...bado tunakaitaji wacha waje walete na bowans yotesawa....
 

BERTO, Kuweka avatar ni simple, fanya yafuatayo;
1. Hakikisha una picha yako tayari kwenye computer yako
2. Fuata maelezo kwenye hii video clip.

Maelezo ya clip. Hakikisha ume log in, then nenda kwenye settings, then nenda kwenye edit avatar, then nennda kwenye choose file ambapo itakubidi uende kwenye folder uliloserve picha yako,. Ukimaliza bonyeza save changes, na hapo picha yako itakuwa hewani. Naomba kuwasilisha link ya video mkuu!

NAkuona uko online mkuu, kama kuna tatizo au ungetaka maelezo zaidi nijulishe kamanda
 
hivi ukiwa wakili kumbe waweza kujitetea mwenyewe mahakamani?

mkuu,kazi ya wakili ni kumpa msaada wa kisheria mwenye ugumu ktk haki yake,lakini kama m2 anajiweza kisheria anaweza kujieleza mwenyewe bila wakili. Albert Msando,ni chuma cha pua,wakili wa uhakika,binadamu imara,mi nshamuongeza kwenye list ya akina Tundu Lissu ambao wataitetea Serikali ya 2015. Wakuu,msituangushe milele!
 

sasa hapo mbona kuna mmoja tayari amewasaliti? hata mkirudia bado atawasaliti na ni nani huyo msaliti?
 
msando usiweke wengine wako kazini humu kaka kila la kheri mkuu natamani ningekuwa lawyer wako maana hapo si simba wala yanga unashinda unazivuta mwenyewe haya ggodday kaka

Mbona wa TZ tuko kiwoga woga namana hii? Watatufanya nini hao ma Shushushu? Berto usiwe na hofu as long as huvunji sheria za nchi, na katiba inakupa uhuru wa kutoa maoni yako, ilimradi tu hayaendi kinyume na taratibu za nchi. Mbona Regia na kina Mkumbo wanapicha zao humu? Wwewe ni diwani na kesho kutwa pengine mbunge, hivyo ujue kuwa jamii yote inakutizama na wale wasiokujua wakakujua kupitia picha yako. This is the right place for you to market yourself.
 

huwa nasikia raha ndani ya ubongo wangu nikikutana na watu waliokamilika upstars kama msando. Napata nguvu kuona msimamo na jinsi msando anavyotumia taaluma yake. Msando komaa nao kaka mpaka kieleweke. Ushirikiano wako na tlp ni muhimu kwa maslahi ya wananchi na maendeleo yao na ushriki wako kupitia chadema ni njia sahihi watoe jasho mpaka wajue ccm imechoka na inatia kichefuchefu. Kiukweli kwa utumbo unaofanywa na ccm msomi yeyote wa kweli hatakubali kuwa mwanaccm ni uchafu mtupu. Big up endelea kuwathibiti.
 

Denyo, nakubaliana nawe kamanda. Serikali zetu za mitaa ndio pa kuanzia kuleta maendeleo ya kweli. Ndio imani yangu. Wengi walikuwa wananipinga na kunihimiza niwahi mjengoni kuungana na kina Zitto ila siamini kwamba hiyo ni njia sahihi. Kama vijana tutaingia kwenye halmashauri za wilaya na manispaa basi madudu mengi sana tutakomesha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…