Kuna lodge inaitwa Florida Bar and Guest House.Imepakana na Flomi Hotel,mitaa ilipo Benne Hall hatua chache kutoka kwenye mnara wa simu uliopo pembeni ya msikiti. Naomba kwa nia njema mwenye mawasiliano yao ani-PM. Nayahitaji mno.
Natanguliza shukrani,
A Father.