Msamiati wa Kiswahili "kulazwa" kwa lugha ya Kiingereza

Tumpara Dudu

JF-Expert Member
Nov 15, 2016
617
487
Salaam kwenu wakuu. Natumai mnaendelea vyema na majukumu ya ujenz wa Taifa letu kupitia Royo Tawa ya uswazi. Ammaa baad. Naomba msaada wa kujulishwa maana ya kingereza ya msamiati wa kiswahili "kulazwa" mfano katika sentensi. "Mwanangu amelazwa muhimbili wodi namba 5"
 
My son/daughter is admitted in ward number five at Muhimbili hospital -tafsiri isiyo rasmi
 
Salaam kwenu wakuu. Natumai mnaendelea vyema na majukumu ya ujenz wa Taifa letu kupitia Royo Tawa ya uswazi. Ammaa baad. Naomba msaada wa kujulishwa maana ya kingereza ya msamiati wa kiswahili "kulazwa" mfano katika sentensi. "Mwanangu amelazwa muhimbili wodi namba 5"
Admit, admitted
 
Back
Top Bottom