Msamiati wa Brazilika

Wajad

JF-Expert Member
Jul 20, 2012
1,321
604
Huu ni msamiati wa Startimes wakitangaza king'amuzi chao kitakachoonesha mechi zote za kombe la dunia zitakazofanyika huko Brazil.
Tiririsha kama ingefanyika ktk nchi nyingine mbalimbali za dunia, neno hilo lingekuwaje Mfano, China CHINIKA, Uganda UGANDIKA, Angola ANGOLIKA, Canada CANADIKA, nk.
 
Back
Top Bottom