Msamiati mpya

MIGNON

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2009
Posts
4,116
Reaction score
5,119
Kwa siku za karibuni nimekuwa nikifuatilia kupotea kwa mwandishi Jamal Kashogi nchini Uturuki.Jana nimekumbana na msamiati mpya,"The interrogation that went wrong" au kwa Kiswahili "mahojiano yaliyokwenda kombo".Wenzangu mmeuona?
 
Mimi naufahamu huu wa kwetu unaosema MO katekwa na watu wasiojulikana
 
Kwa siku za karibuni nimekuwa nikifuatilia kupotea kwa mwandishi Jamal Kashogi nchini Uturuki.Jana nimekumbana na msamiati mpya,"The interrogation that went wrong" au kwa Kiswahili "mahojiano yaliyokwenda kombo".Wenzangu mmeuona?

Kwenda kombo mbona sio msemo mpya ?
Rudia kwa wazee watakuelewesha !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…