Msambwanda ni furaha ya macho tu

Maajabu ni kwamba msambwanda skuizi kama basic needs kwa mwanamke maana Wanaume wenyewe mnataka portable vyenye kitonga sio yenye imenyooka kama rula ,,anyway kila mtu na chaguo lake ,,,
 
Maajabu ni kwamba msambwanda skuizi kama basic needs kwa mwanamke maana Wanaume wenyewe mnataka portable vyenye kitonga sio yenye imenyooka kama rula ,,anyway kila mtu na chaguo lake ,,,
Tupe sifa zako, na kapicha ukikapost itakua powa zaidi
 
Maendeleo kwenye viuno. Ndo TZ hii

Sent from my SM-N920C using JamiiForums mobile app
 
mwanamke mwembamba kdg mwenye kijitako aisee! anaweza kukufanya ufie kifuani hawa viumbe in hatari sana.

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Umeona eeehh..Sio siri tuna raha yake jamani
 
Mhmmm mwanamke bila kalio ukweli naidhurumu nafsi yangu,ukikosa kalio sifa kwangu huna kabisa face does matter to me.

Sent from my SM-G925F using JamiiForums mobile app
 
Weweeee...!

Usifananishe misambwanda original na kaukau.
 
Kwani nawe ni mdau wa sambwanda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…