Msambatavangu: Ni kweli Mkataba wa Bandari ni wa milele, ni mzuri kwa sababu unaweza kuvunjwa muda wowote

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,972
141,984
Ngoma inogile,

Mbunge wa Iringa mjini Jesca Msambatavangu amesema ni kweli kabisa Mkataba wa Bandari hauna Muda ni wa Milele na hilo ni jambo zuri kwa sababu unaweza kuvunjwa Wakati wowote si hauna Muda.

Jesca alikuwa akihutubia kwenye mkutano wa wana CCM wa Iringa mjini.

Je, unakubaliana na hoja za huyu mwanasaikolojia Jesca Msambatavangu?

Navalonge swela 😄😄🔥🔥

Ngoma inogile

Mbunge wa Iringa mjini mh Jesca Msambatavangu amesema Ni kweli kabisa Mkataba wa Bandari hauna Muda ni wa Milele na hilo ni jambo zuri kwa sababu Unaweza kuvunjwa Wakati wowote si hauna Muda

Jesca alikuwa akihutubia kwenye mkutano wa Wanaccm wa Iringa mjini

Je, unakubaliana na hoja za huyu mwanasaikolojia Dr Jesca Msambatavangu PhD?

Navalonge swela 😄😄🔥🔥

Huoni haya kuulizwa hilo swali?
 
IMG_20230731_123639_257.jpg
 
Takataka
 
Huyo mama mwenye sura ya kiume na tezi la kimataifa, akili zake zinamtosha mwenyewe.
 
Ngoma inogile

Mbunge wa Iringa mjini mh Jesca Msambatavangu amesema Ni kweli kabisa Mkataba wa Bandari hauna Muda ni wa Milele na hilo ni jambo zuri kwa sababu Unaweza kuvunjwa Wakati wowote si hauna Muda

Jesca alikuwa akihutubia kwenye mkutano wa Wanaccm wa Iringa mjini

Je, unakubaliana na hoja za huyu mwanasaikolojia Dr Jesca Msambatavangu PhD?

Navalonge swela 😄😄🔥🔥
Huwa sielewi ni kwanini ukiwa CCM hautakiwi kutumia akili.
 
Ngoma inogile

Mbunge wa Iringa mjini mh Jesca Msambatavangu amesema Ni kweli kabisa Mkataba wa Bandari hauna Muda ni wa Milele na hilo ni jambo zuri kwa sababu Unaweza kuvunjwa Wakati wowote si hauna Muda

Jesca alikuwa akihutubia kwenye mkutano wa Wanaccm wa Iringa mjini

Je, unakubaliana na hoja za huyu mwanasaikolojia Dr Jesca Msambatavangu PhD?

Navalonge swela
Sijui hawa viwavi kama huwa wanapata hata muda wa kutafakari walichokisema majukwaani.

Ni mautopolo kwa kwenda mbele, mkataba wa milele kuwa mzuri kuvunjwa kwa wakati Wowote linasahau vipengele vyote vya mkataba vinamtaka mwarabu mpaka yeye aamue kuvunja....!
 
Back
Top Bottom