Msalimie hivi

Msalimie hivi

Ushimen

Platinum Member
Joined
Oct 24, 2012
Posts
44,859
Reaction score
113,321
Hii ndio jinsi ya kumsalimia mke wa mtu
 

Attachments

  • 1402454127861.jpg
    1402454127861.jpg
    50.4 KB · Views: 333
Ooyooo salaamu hii ni kwa wakiristo na wasiokuwa na dini lakini kwa wasilamu si vizuri kuushika mkono wa wake kwa sababu mwanamke ukimshika tu mkono au bega basi huwa na hormon ya mwili wake kusisimka na huwa hajitambui hapo wala litendwalo hapo tena ndo shetani wa mahaba uhingia na huwa poa kwa aina yoyote ya uzinzii na fanya utafiti utayaona na hasa kwa mke wa mtu ni chungu
 
ooyooo salaamu hii ni kwa wakiristo na wasiokuwa na dini lakini kwa wasilamu si vizuri kuushika mkono wa wake kwa sababu mwanamke ukimshika tu mkono au bega basi huwa na hormon ya mwili wake kusisimka na huwa hajitambui hapo wala litendwalo hapo tena ndo shetani wa mahaba uhingia na huwa poa kwa aina yoyote ya uzinzii na fanya utafiti utayaona na hasa kwa mke wa mtu ni chungu


sasa na huu usafiri wetu wa daladala wa kibongo,

kila wakati mnasuguana na kugusana hapo vipi ndugu?
 
hao wanaosalimiwa hivyo rahisi kama kumsukuma mlevi. Her fear is her weakness.
 
Back
Top Bottom