Mahweso
JF-Expert Member
- Jan 10, 2014
- 1,098
- 1,501
Kama tujuavyo, uchaguzi umefanyika Tanzania, na kipindi tunaelekea kwenye Uchaguzi ndio Lipumba alijihudhuru, kipindi amejihudhuru CUF wanadai walipeleka jina la Kaimu mwenyekiti wa CUF kwasababu wasingeweza kuitisha uchaguzi kipindi kunauchaguzi wa Nchi, waliona wamalize uchaguzi wa Nchi ndio waje kumchagua mwenyekiti wao,
Msajiri ajibu kwa ukweli, CUF kipindi cha uchagizi walikuletea jina la kaimu mwenyekiti? Au CUF ni waongo, na kama walileta, walikwambia sababu kwanini wanaleta kaimu mwenyekiti Babara ya Mwenyekiti? Au Mwenyekiti wao ambaye unamjua alikuwa ameenda Wapi? Uliwauliza CUF?