McCain
JF-Expert Member
- Dec 2, 2016
- 1,169
- 517
Ndugu msajili ya vyama bya siasa pole na
majukumu naomba umtambue Sophia simba,bashe pamoja na wenzake walofukuzwa uanachama kama uliweza kumtambua pr. Ibrahim haluna Lipumba kwa jinsi ulivyo na weledi wa kazi kama professional yako najua utawaonea huruma na hawa wa kutoka Ccm pia.
Nitashukuru kwakuwa ombi limekubaliwa bil kupingwa



Nitashukuru kwakuwa ombi limekubaliwa bil kupingwa
