GE2025 Msajili wa Vyama vya Siasa,awaketisha ACT na Monalisa uteuzi wa Mpina

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,437
Reaction score
5,235
Katibu Mwenezi wa ACT Wazalendo Mkoa wa Dar es Salaam, Monalisa Ndala, amewasili katika Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Jumamosi Agosti 23, 2025 kwa ajili ya kikao cha dharura kilichoitishwa kujadili malalamiko aliyowasilisha dhidi ya uongozi wa chama hicho, hususan kuhusu uteuzi wa Luhaga Mpina kuwa mgombea urais wa Tanzania kupitia chama hicho.

Monalisa amewasili katika ofisi hizo akiwa ameambatana na mawakili wake watatu na alipokelewa na Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa, Sisty Nyahoza.

Akizungumzana na Jambo TV kuhusu suala hilo, Katibu Mkuu wa ACT-Wazalendo, Ado Shaibu, amesema kwamba wamepata nafasi ya kuendelea kusisitiza hoja zao ambazo awali waliziwasilisha kimaandishi kwamba uteuzi wa Mpina ulikuwa halali hivyo chama hicho kinasubiri uamuzi wa Msajili.
 
Act na msajili wote hao ni project za ccm. Ndio maana wameitana kusuluhishana. Yaishe. Ni dugu moja. Hii mifumo imeungana.
 
Katibu Mwenezi wa ACT Wazalendo Mkoa wa Dar es Salaam, Monalisa Ndala, amewasili katika Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Jumamosi Agosti 23, 2025 kwa ajili ya kikao cha dharura kilichoitishwa kujadili malalamiko aliyowasilisha dhidi ya uongozi wa chama hicho, hususan kuhusu uteuzi wa Luhaga Mpina kuwa mgombea urais wa Tanzania kupitia chama hicho.

Monalisa amewasili katika ofisi hizo akiwa ameambatana na mawakili wake watatu na alipokelewa na Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa, Sisty Nyahoza.

Akizungumzana na Jambo TV kuhusu suala hilo, Katibu Mkuu wa ACT-Wazalendo, Ado Shaibu, amesema kwamba wamepata nafasi ya kuendelea kusisitiza hoja zao ambazo awali waliziwasilisha kimaandishi kwamba uteuzi wa Mpina ulikuwa halali hivyo chama hicho kinasubiri uamuzi wa Msajili.
View attachment 3450376
Ingekuwa CDM wapinzani wa kweli kesi ingeshafika mahakamani! Na zuio kutembezwa!
 
Hao ni familia, watayamaliza kimila, nafikiri Monalisa haelewi nani ni mmiliki wa ACT Wazalendo amedandia gari kwa mbele.
 
Katibu Mwenezi wa ACT Wazalendo Mkoa wa Dar es Salaam, Monalisa Ndala, amewasili katika Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Jumamosi Agosti 23, 2025 kwa ajili ya kikao cha dharura kilichoitishwa kujadili malalamiko aliyowasilisha dhidi ya uongozi wa chama hicho, hususan kuhusu uteuzi wa Luhaga Mpina kuwa mgombea urais wa Tanzania kupitia chama hicho.

Monalisa amewasili katika ofisi hizo akiwa ameambatana na mawakili wake watatu na alipokelewa na Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa, Sisty Nyahoza.

Akizungumzana na Jambo TV kuhusu suala hilo, Katibu Mkuu wa ACT-Wazalendo, Ado Shaibu, amesema kwamba wamepata nafasi ya kuendelea kusisitiza hoja zao ambazo awali waliziwasilisha kimaandishi kwamba uteuzi wa Mpina ulikuwa halali hivyo chama hicho kinasubiri uamuzi wa Msajili.
View attachment 3450376
Kwanini hakuwaketisha CCM na Mzee Malisa?
 
Project haiwezi kuairishwa hata siku moja. Utasikia tu msajili katupilia mbali hoja za mlalamikaji na Mpina anaendelea kugombea.

Kumwondoa mpina ni sawa na kuchukua mhuri wa kuhalalisha uhalifu wa kiuchaguzi. Msajili na CCM hawawezi kukubali hilo.
 
Mbona hakumketisha Mchome na Chadema, badala yake akampangishia nyumba Masaki?
Chezea utamu wa unyeo wa Mchome. Hata ungelikuwa wewe ungempangishia tu. Sisi wa makunduchi na mchamawima ndo zetu.
 
Polepole ameishategua kitendawili....
ACT ni Mradi WA wanamtandao WA CCM
 
Katibu Mwenezi wa ACT Wazalendo Mkoa wa Dar es Salaam, Monalisa Ndala, amewasili katika Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Jumamosi Agosti 23, 2025 kwa ajili ya kikao cha dharura kilichoitishwa kujadili malalamiko aliyowasilisha dhidi ya uongozi wa chama hicho, hususan kuhusu uteuzi wa Luhaga Mpina kuwa mgombea urais wa Tanzania kupitia chama hicho.

Monalisa amewasili katika ofisi hizo akiwa ameambatana na mawakili wake watatu na alipokelewa na Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa, Sisty Nyahoza.

Akizungumzana na Jambo TV kuhusu suala hilo, Katibu Mkuu wa ACT-Wazalendo, Ado Shaibu, amesema kwamba wamepata nafasi ya kuendelea kusisitiza hoja zao ambazo awali waliziwasilisha kimaandishi kwamba uteuzi wa Mpina ulikuwa halali hivyo chama hicho kinasubiri uamuzi wa Msajili.
View attachment 3450376
Project chama uvundo
 
Back
Top Bottom