MUSSA ALLAN JF-Expert Member Joined Oct 13, 2013 Posts 18,925 Reaction score 13,280 Jul 2, 2014 #121 Molemo said: Mkuu xenaxena wanachadema wameamua na kula kiapo kwamba watawalinda Mashujaa Mbowe na Dr Slaa hata kwa gharama za damu zao! Click to expand... Hawa wahuni ni mashujaa wa nini?
Molemo said: Mkuu xenaxena wanachadema wameamua na kula kiapo kwamba watawalinda Mashujaa Mbowe na Dr Slaa hata kwa gharama za damu zao! Click to expand... Hawa wahuni ni mashujaa wa nini?
MUSSA ALLAN JF-Expert Member Joined Oct 13, 2013 Posts 18,925 Reaction score 13,280 Jul 2, 2014 #122 MAHORO said: Mwigamba Na Wenzake Ni Wapuuzi Kabisa Click to expand... Kama MBOWE na SLAA wanavyofanya upuuzi na katiba ya CHADEMA.
MAHORO said: Mwigamba Na Wenzake Ni Wapuuzi Kabisa Click to expand... Kama MBOWE na SLAA wanavyofanya upuuzi na katiba ya CHADEMA.
M Molemo JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 14,620 Reaction score 13,361 Jul 2, 2014 #123 MSALANI said: Hawa wahuni ni mashujaa wa nini? Click to expand... Ningeshangaa sana kama mwanaCCM kama wewe usingewatukana hawa majabali
MSALANI said: Hawa wahuni ni mashujaa wa nini? Click to expand... Ningeshangaa sana kama mwanaCCM kama wewe usingewatukana hawa majabali
MUSSA ALLAN JF-Expert Member Joined Oct 13, 2013 Posts 18,925 Reaction score 13,280 Jul 2, 2014 #124 Molemo said: Ningeshangaa sana kama mwanaCCM kama wewe usingewatukana hawa majabali Click to expand... Ni majabali wa nini? Hakuna chochote cha maana walichowahi kukifanya kwa faida ya taifa hili.
Molemo said: Ningeshangaa sana kama mwanaCCM kama wewe usingewatukana hawa majabali Click to expand... Ni majabali wa nini? Hakuna chochote cha maana walichowahi kukifanya kwa faida ya taifa hili.
M Molemo JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 14,620 Reaction score 13,361 Jul 2, 2014 #125 MSALANI said: Ni majabali wa nini? Hakuna chochote cha maana walichowahi kukifanya kwa faida ya taifa hili. Click to expand... Wamesababisha wewe kupata ajira hapa mtandaoni ya kuwatukana kila siku huku ukitia kibindoni ujira wa Buku 7
MSALANI said: Ni majabali wa nini? Hakuna chochote cha maana walichowahi kukifanya kwa faida ya taifa hili. Click to expand... Wamesababisha wewe kupata ajira hapa mtandaoni ya kuwatukana kila siku huku ukitia kibindoni ujira wa Buku 7