Msajili awaita Lipumba na Seif

Ofisi ya Msajili inafuata sheria sio hisia mkuu
 
Kwani kufanya siasa kunahitaji LESENI?
 
Wew kama nani wa kutoa hyo hukumu
 
Kwahiyo siku hizi msajili wa vyama vya siasa amekuwa police au mahakama? Wale waliofanya vurugu zile ni wahaini kama walivyo wahalifu wengine,hapo hakuna kusuruhishana ni kuwa peleka mahakamani tu.

Endapo sheria isipochukua mkondo wake hakika nasema siku sio nyingi tutarajie kuona roho za watu zikiacha miili yao.
 
Afungiwe kwa sababu Refa ni wenu? Hivi haya majina huwa yanaakisi akili ya mtu?
 
Jamani hii nchi siina Maprofesa wengi mbona hawamkosoi Profesa mwenzao kwa anayoyafanya? Ama kzi yao nikukosoa Serekali tu?
 
Msajili wa vyama ni mlezi hili swala lipo kisheria zaidi maana ni jinai kabisa..uvamizi wa silaha...maalim asikubali kabisa hii ngoma ni mahakamani .... ....
 
Lipumbwa alishafukuzwa uanachama, Msajili anatakiwa alijue hilo FULL STOP!
 
Nasikia huyu msajili wa vyama vya siasa ni Jaji mstaafuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Chuki zako au kuhongwa kwako hakuondoi uhalali wa Lipumba kuwa Mwenyekiti halali wa CUF.
Aliondoka kihalali na akarudi kihalali...sasa muanzisha fujo ni katibu seif kwa kuwa anakumbatia na kukumbatiwa na Chadema tena waziwazi.
mzee punguza kuvuta bangi unaweza kunywa chibuku kidogo au gongo.
 
Nadhani busara aliyefanya vurugu ashtakiwe kwanza kamanda Sirro kesha sema ile ni Jinai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…