Wont be the same
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,564
- 2,483
Wakuu
Huenda hizi amsha amsha za CHADEMA huko mikoani ndizo zilizomtoa Msajili wa vyama vya siasa kuja kusema chochote kitu? Au kuna kaupenyo kanatafutwa hapa.
====
Yah: MWITO KWA VYAMA VYA SIASA KUHESHIMU SHERIA YA VYAMA VYA
SIASA SURA YA 258
Naomba mrejee suala tajwa hapo juu.
2. Katika mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa inayoendelea, Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imebaini uwepo wa vitendo vya ukiukwaji wa Sheria ya Vyama vya Siasa Sura 258, kwa baadhi ya vyama vya siasa kuruhusu wanachama na mashabiki wake kutumia maneno ya uongo, kashfa na uchochezi dhidi ya chama kingine, mtu binafsi, taasisi au Serikali. Hivyo, Msajili wa Vyama vya Siasa anatumia fursa hii kukiasa kila chama cha siasa chenye usajili kamili, kuwaelimisha na kuwadhibiti wanachama na mashabiki wake, kuhakikisha hawakiuki sheria za nchi, hususani Sheria ya Vyama vya Siasa na kanuni zake wakati wa mikutano ya hadhara.
3. Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa inaendelea kutekeleza wajibu wake wa kufuatilia mienendo ya viongozi, wanachama na mashabiki wa vyama vya siasa katika mikutano hiyo, ili kubaini endapo kuna ukiukwaji wa sheria ya vyama vya siasa unaoendelea. Aidha, Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa haitasita kuchakua hatua za kisheria kwa chama cha siasa au mwanachama wa chama cha siasa ambaye atapuuza
mwito huu.
4. Nashukuru kwa ushirikiano wako.
====
Pia soma