Msajili avitaka vyama kutosusa uchaguzi

singidadodoma

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
4,394
1,536
12669600_1039163996148058_6280490283072780793_n.jpg
 
Kwani yye hataki kuwa raisi angeshauri ccm waache uhuni wasilazimishe kufanya uchaguzi ambao tayari wana matokeo yao mfukoni
 
Huyu jamaa anatia kichefuchefu sana .kwa nini analipwa kodi zetu .lakini anafanya mambio mengine
 
Haba u.uhimu tena wowote .ni ulaji tu .kwanu mwanzo kabla kufuta maslahi ya wananchi hayakuwepo .huyu anyamaze tu
 
Kususa tushasusa, na fomu rasmi za wagombea wote wa cuf zishatumwa zec!, ccm si mnajifanyaga manunda! Mwaka huu mtageuka mang'onda! mtaisoma namba kweli kweli! { NA THE HAGUE! INAWANGOJEA! ALL EYES ON ZNZ, CHEZEA FATOUH BENSOUDA! } Hihihihii!
 
Kushiriki au kutoshiriki uchaguzi ni uamuzi wa chama chenyewe.

Nawaunga mkono CUF kutoshiriki Uchaguzi huo, japokuwa mimi mwenyewe si mwanachama wa chama chochote cha siasa.

Kwa kuwa tayari Katiba ilikiukwa, CUF na chama chochote kile cha siasa, kitakachokubali kushiriki Uchaguzi wa Zanzibar ambao unarudiwa kinyume cha Katiba, huo ni usaliti mkubwa kwa watu wa Zanzibar na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, pamoja na vizazi vijavyo.

Historia itawahukumu.
 
Back
Top Bottom