Mbeba sumu huwa unalipwa kiasi gani kwa post?
Last week nilikuwa maeneo ya boko nilikutafuta wakaniambia uko bize sana...
Mbona hakusikika kipindi cha nyuma?
Ufisadi CHADEMA tukiyajibu haya 2015 asubuhi tunachukua nchi
FREEMAN MBOWE, KIONGOZI ALIYEFANIKIWA KUIFISIDI CHADEMA KWA KUWAAMINISHA WANACHADEMA KUWA MIGOGORO YOTE INAYOTOKEA CHADEMA NI MPANGO WA CCM
Mara zote Mbowe na Slaa wakiulizwa kuhusu migogoro inayoendelea Chadema wao jibu lao ni moja tu Ni mipango ya CCM kutuvuruga Chadema ni tishio kwao
Mwanachademe unayejitambua jibu haya:
1. Hivi CCM wanahusikaje na kunyofolewa kinyemela kwa kifungu cha ukomo wa uongozi kwenye katiba ya chadema? (Je Mbowe anatumika pia?)
2. CCM wanahusikaje na suala la Mbowe na Slaa kujikopesha ruzuku?
3. CCM wanahusikaje na kuchagua wabunge wa viti maalum Chadema kwa udugu?
4. CCM inahusikaje na suala la Chadema kutokukaguliwa mahesabu yake?
5. CCM inahusikaje na mradi wa uchangishaji wa M4C kutokuwa na ripoti yoyote / mrejesho wowote kwa wanachama wa chadema?
Hapa utaona kinachofanyika ni viongozi wa juu wa chadema kuitumia CCM kama kichaka cha kuficha ufisadi wao kwani kila anayeonekana kuzungumzia mapungufu na ufisadi wao anaitwa Msaliti/mhaini anatumiwa na CCM.
5. Hamuoni kuwa Mbowe anaitumia CCM kuficha ufisadi wake ndani ya Chadema ?
Ili watanzania wafanye mabadiliko, ili waweze kufanikiwa kuiweka serikali itakayowatimizia matarajio yao ni lazima ccm iondilewe madarakani.
Haya mambo ya kujadili kipengele cha ukomo wa uongozi kwenye katiba ya chadema, tena na wanaccm ni kujaribu kuchelewesha harakati za watanzania kufanya mabadiliko, jaribio ambalo limeshindwa vibaya, watanzania wamewapuuza ccm na vibaraka wao
Nikikusoma tu namsikitikia Mjane wa Mwangosi Masikini Rambirambi zake!
Kwa Taarifa yako tu huyu ni Katibu Mtendaji ofisi ya Katibu Mkuu kwa muda mrefu.
Sasa hivi anakaimu Ukatibu Mkuu kwa kuwa Dr Slaa hayupo Ofisini.
Asante Molemo,
Nilitaka kumjibu lakini imetosha.
Chadema jibuni hoja kwanini mmechakachua kipengele cha ukomo wa uongozi kwenye katiba
Samson Mwigamba anangoja kuzikwa rasmi
CcSio kwamba Anangoja bali tayari ameshazikwa kabisa kisiasa.
Hakika Njaa Mbaya sana!
Ufisadi CHADEMA tukiyajibu haya 2015 asubuhi tunachukua nchi
FREEMAN MBOWE, KIONGOZI ALIYEFANIKIWA KUIFISIDI CHADEMA KWA KUWAAMINISHA WANACHADEMA KUWA MIGOGORO YOTE INAYOTOKEA CHADEMA NI MPANGO WA CCM
Mara zote Mbowe na Slaa wakiulizwa kuhusu migogoro inayoendelea Chadema wao jibu lao ni moja tu Ni mipango ya CCM kutuvuruga Chadema ni tishio kwao
Mwanachademe unayejitambua jibu haya:
1. Hivi CCM wanahusikaje na kunyofolewa kinyemela kwa kifungu cha ukomo wa uongozi kwenye katiba ya chadema? (Je Mbowe anatumika pia?)
2. CCM wanahusikaje na suala la Mbowe na Slaa kujikopesha ruzuku?
Hivi Kikwete na Kinana wa CCM hawajikopeshi ruzuku yao? Au CCM hawapati ruzuku?
3. CCM wanahusikaje na kuchagua wabunge wa viti maalum Chadema kwa udugu?
4. CCM inahusikaje na suala la Chadema kutokukaguliwa mahesabu yake?
5. CCM inahusikaje na mradi wa uchangishaji wa M4C kutokuwa na ripoti yoyote / mrejesho wowote kwa wanachama wa chadema?
Hapa utaona kinachofanyika ni viongozi wa juu wa chadema kuitumia CCM kama kichaka cha kuficha ufisadi wao kwani kila anayeonekana kuzungumzia mapungufu na ufisadi wao anaitwa Msaliti/mhaini anatumiwa na CCM.
5. Hamuoni kuwa Mbowe anaitumia CCM kuficha ufisadi wake ndani ya Chadema ?
Cc
john mrema
Yupi, josephine au mukya?