Msaidizi wa stationery

Msaidizi wa stationery

Afande Nyati

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2012
Posts
2,385
Reaction score
1,414
Habari wakuu,

Anahitaji mtu kufanya kaz ya stationery.

Awe anajua ku type kwa speed na kutumia photocopy machine
Awe anaishi Kigamboni maana ndiko stationery ilipo.

Awe mwaminifu.

Malipo ni makubaliano.
 
Sema kabisa bei gani unalipa mkuu mbona unaogopa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom