Msaidizi wa Naibu Katibu Mkuu CCM bara ajiunga CHADEMA

Msaidizi wa Naibu Katibu Mkuu CCM bara ajiunga CHADEMA

safiiii, njoo njoo, Lowassa soon nae anakuja kuleta ukombozi
 
Dotto Mnzava

Huko Simiyu nako waliokuwa madiwani 10 wa ccm na udp wamejiunga na chadema. Moto ndio kwanza unaanza kuwaka.
 
Last edited by a moderator:
Huyu na yule ..huyu anatoka, huyu anaingia ..wanaongea kizungu, kwani si wabongo?
 
Karibu sana kamanda tuikomboe nchi! Wanataka kumpa ikulu huyo muuza nyumba za serikali,usikubali kamanda.
 
Dotto Mnzava

Ni sawa na kusema, shangazi ya jirani ya mfanyakazi wa rafiki ya kada wa CCM kajiunga Chadema
 
Last edited by a moderator:
Ameruka majivu na kukanyaganga moto.
Huko alikoenda ndio kuna madikiteta wa kutisha.
Kama anabisha amuulize zito kama rufaa yake aliyokata iliwahi kusikilizwa.
 
Mungu wa Askofu Zachary Kakobe, ni Mungu wa kweli. Unabii wa Mtumishi wake kuhusu mafarakano ndani ya ccm, umetimia na utakamilika mwaka oktoba 25 mwaka huu.
 
Nawaomba muingize upya barua ya askofu kakobe aliyomwandikia rais kikwete na mwenyekiti wa ccm, ya unabii, yenye ujumbe wa mungu wa wazi kwa umma, ikizungumzia mafarakano makubwa ndani ya ccm na mpasuko utakaotokea na anguko lao oktoba 2015. Je, umeanza kutimia au bado? Wengi walipinga! Hata serikali ilisema eti ni polojo za kakobe!
 
Nenda huna impact yeyote kwenye chama!! Uchu na tamaa za madaraka ndiyo zinawasumbua!! CCM uliikuta na utaiacha na itasonga mbele

unakimbia ukweli lakini ujumbe umeupata loud nd clear! Hivi hujamsikia Magufuli akiwa Zenj Leo anvyopata taabu kujihalalisha baada ya kugundua hakubaliki ndani na nje ya CCM baada ya kuwa ameteuliwa kwa dhambi ya kukiuka kanuni za chama chap! Zinduka!
 
Yoyote anakaribishwa chadema siasa siyo uadui, ilimradi tu ufuate taratibu na seria tulizo jiwekea. Nihaki ya kilaanate hona haki yake ilidhulumiwa sehemu yoyote kutafuta atakapo ipata iwe ndani ya ccm au nnje ya ccm.
 
Back
Top Bottom