Msaidizi wa Mwl. Nyerere (Mzee Kasori) alivyowashukia viongozi wa serikali ya awamu ya nne

huyu mzee sijui nae amelipwa kiasi gani kuleta maelezo marefu kiasi hiki!!!

Na wewe umelipwa kiasi gani kuchukia mtu anaposema ukweli, na hasa unaomuhusu "baba yenu Fisadi mkubwa" huyu? Njoo na hoja ya msingi hapa. Mukiambiwa mumekaa upande usiofaa hamtaki. Zigo hilo libebeni sasa. Tunawasubiri kwa hamu kubwa saana mitaani.
 
Mzee kasori asante sana kwa maelezo yako.
Katika vitu vimekuwa vinanisikitisha ni kuona tanzania imeishiwa hata wazee wanaosema ukweli.
Mwalimu kama alifanya makosa ni ya kibinadamu lakini nikili alitupenda watanzania wote upeo. Mungu amlaze mahali pema peponi. Amen. Kama siyo sera zake za kunisomesha bure nigelikuw anaozea kijijini. Kilasiku namuombea! Ukitaka kujua wema wake angalia haya mafisi aliyotuachia1

Pamoja na ukweli huo ambao mzee Kasori kauanika nilidhani mashaki wake wangekuja na hoja za kumtetea "baba yao fisadi", badala yake wanauliza eti "Mzee Kasori kalipwa kiasi gani"? is that what we want to know here?
 
Mzee kasori asante sana kwa maelezo yako.
Katika vitu vimekuwa vinanisikitisha ni kuona tanzania imeishiwa hata wazee wanaosema ukweli.
Mwalimu kama alifanya makosa ni ya kibinadamu lakini nikili alitupenda watanzania wote upeo. Mungu amlaze mahali pema peponi. Amen. Kama siyo sera zake za kunisomesha bure nigelikuw anaozea kijijini. Kilasiku namuombea! Ukitaka kujua wema wake angalia haya mafisi aliyotuachia1

Pamoja na ukweli huo ambao mzee Kasori kauanika nilidhani mashaki wake wangekuja na hoja za kumtetea "baba yao fisadi", badala yake wanauliza eti "Mzee Kasori kalipwa kiasi gani"? is that what we want to know here?
 
Hoja hujibiwa kwa hoja, huyu Mzee Kasori katueleza mambo mengi sana kuhusu Lowassa na hata alivyoombwa na Lowassa kuwa amuoombee kwa hayati mwalimu aende kumsafisha kule MONDULI ILI ASIKOSE UBUNGE!! Lowassa mwenyewe yuko hai na bila shaka anamfahamu huyu Kasori kwanini basi hajitokezi na kukanusha habari hizi kuwa sio sahihi.!Mimi binafsi nina fahamu kuwa Lowassa kwa muda mfupi alipokuwa mkurugenzi wa AICC pale Arusha alifanya madudu mengi sana ambayo yangeweza kumpeleka Lupango.

Now you are talking, keep it up. We need such a brain in JF, not takataka. I like the way you have put him in corner. Let him come out and speak, why is he hiding?
 
Mzee kasori asante sana kwa maelezo yako.
Katika vitu vimekuwa vinanisikitisha ni kuona tanzania imeishiwa hata wazee wanaosema ukweli.
Mwalimu kama alifanya makosa ni ya kibinadamu lakini nikili alitupenda watanzania wote upeo. Mungu amlaze mahali pema peponi. Amen. Kama siyo sera zake za kunisomesha bure nigelikuw anaozea kijijini. Kilasiku namuombea! Ukitaka kujua wema wake angalia haya mafisi aliyotuachia1

It is very pain, especially at this moment of time when Lowassa is trying to bulldoze the country to defend his other side.
 
WanaJF hivi kweli huwa tunafuatiliaga hizi makala kwa umakini na kuweka muunganisho?Maana sio siri tunahitaji major brain over hauling ili kuweza kuikomboa hii nchi,maana hawa CCM wananuka sana na wameshindwa kuondoa nyanya mbovu kwenye tenga hivyo wanazidi kuoza..Tubadili mueleko na kuanza upya....Wahenga walisema;"Kuanza upya sio ujinga".....Hii makala ya katibu wa Nyerere ina maana sana ktk mustakabali wa nchi yetu....

Noted and agreed... But how?
 
Nimefurahishwa na mjadala huu japo naona una lengo la siri amabalo sio muafaka wa hali ngumu ya kiuchumi ya Tanzania kwa sasa.Kura yako 2015 itaamua nani awe Rais. Wako wengi wanaojitengenezea mazingira na wanavibaraka wao kama huyo former katibu. One thing to note "Watanzania tukiamua tunaweza, wazee wabaki kuwa washauri vijana tuingie mzigoni hakuna cha Lowasa wala cha nani wote ni hao hao.Ukitaka kupata ambao hawajajilimbikizia mali kwa ulimwengu wa sasa chukua wanafunzi wachuo wanao tegemea loans board na MOF kama bado ipo.Kikubwa ni uadilifu, tuondoe dhana ya kuona kila mwenye nacho fisadi, tutaishia kuuza ubuyu.
 
Huyu mzee si wampe ka Cheo flani aache kutumika?

Tumewasahau sana watu wa JKN ndo maana wameshaishiwa hela....
 
UADILIFU NA UWAJIBIKAJI WA VIONGOZI WA TANZANIA

Na, Samwel. H. Kasori: (Katibu mstaafu wa J.K.Nyerere)-[Posted first on: 03/24/08]

Nianze kwa nukuu ya Sir Francis Bacon (samahani kwa kuileta kwenu kwa kiingereza): "One of the schools of the Grecians, examines the matter of Truth and is at a stand to think what should be in it, that men should love lies, where neither they make for pleasure, as with poets, nor for advantage, as with the merchants but it is for the lies sake.

Truth is a naked and open daylight that does not show the masks, and mummeries and triumphs, of the world half so stately and daintily as could lights... To pass from theological and philosophical truth, to the truth of civil business, it will be acknowledged, even by those who do not practice it, that clear and sound dealing, is the honor of man's nature; and that mixture of falsehoods, is like a alloy in coin of gold and silver, which may make the metal work the better but it embaseth it. For those winding and crooked courses, are the goings of the serpent, which goes barely upon the belly and not upon the feet. There is no vile , that does so cover a man with SHAME as to be found FALSE and PERTIFIDIOUS". Mwisho wa kunukuu.

Naam, tazama ahadi ya 8 ya mwanachama wa CCM, inayosema, " NITASEMA KWELI DAIMA, FITINA KWANGU MWIKO."

Ndugu zangu waheshimiwa wote waliotajwa katika sakata la Richmond napenda wasome kwa kurudia mara kadhaa nukuu hiyo niliyoanza nayo hapo juu katika mstakabali mzima wa kutukuza kwa unyenyekevu kitu kinaitwa kusema ukweli (TRUTH). Wahenga walisema ukweli unauma. Ni vizuri tu wote tukakubaliana na hilo. Huo ndio ustaarabu. Kusema ukweli ndio utu halisi. Tuhuma hizo nzito zinazowakabili wakizijibu pasipo kukiri kitu kinaitwa UKWELI na badala yake wakaendekeza majigambo, uwongo na kufanya hivyo mahali pasipo husika hawalitakii Taifa letu la Tanzania mema. Katika hili hawatakiwi kutumia jaziba au hasira. Tena wakumbuke kuwa (Mh. Edward Lowasa, na Karamagi na Msabaha) walipewa nafasi halali Bungeni. Pale walichokifanya kwa bahati mbaya walitawaliwa na jazba na hasira.

Ndugu zangu, kuhusu hasira naomba niwaase kama mtaalam mmoja kwa jina SENECA, alivyowahi kusema (samahani kwa kunukuu kwa kiingereza):

"There is no other way but to meditate and ruminate well upon the effects of anger, how it troubles man's life. The best time to do this is to look back upon anger when the fit is thoroughly over. Anger is like ruin, which breaks itself upon that, it falls. The scripture teaches us to possess our souls in patience. Whosoever is out of patience is out of possession of his soul. Men must not turn bees" Mwisho wa kunukuu...

Fuatilia previous posts kuhusu makala haya....
 
Summary: Lowasa sio muadilifu, kajilimbikizia Mali nyingi akiwa mtumishi wa umma,anakiburi Kama alivhoweza kumtaka kambarage akamtetee Munduli kwa kupitia kwa Kawawa na kushindwa kuhudhuria mkutano na Kambarage bila kutoa udhuru ni mjinga na hivyo hastahili Uongozi wa nchi ya Tanzania kwa nafasi yeyote.
 
St Ivuga hongera kwa kuiweka habari vizuri na yote ingawa humu JF ilikuja kipande na ningependa wachambuzi km Ritz Pasco hata Absolom Kibanda wa Tanzania Daima wangeipitia kwani bado ni hai
 
Last edited by a moderator:
TUnajifunza mengi, na pia historia inatuma hekima nzuri ya kufanya maamuzi. Fisadi ni fisadi tu, hatumuhitaji katika kuongoza nchi hii.
 
Back
Top Bottom