Msaidizi/Secretary kwa shughuli za biashara ya stationery

mwamisha

Member
Joined
Jul 4, 2017
Posts
59
Reaction score
22
Anahitajika msaidizi wa namna hiyo; sifa awe msichana na umri miaka 18-25, awe anajua anachofanya, asiwe mkorofi kwa wateja, awe mwwminifu, awe ana elimu angalau ya computer, msafi na awe anapenda kujifunza mshahara ni maelewano. Karibuni.
 
Anahitajika msaidizi wa namna hiyo; sifa awe msichana na umri miaka 18-25, awe anajua anachofanya, asiwe mkorofi kwa wateja, awe mwwminifu, awe ana elimu angalau ya computer, msafi na awe anapenda kujifunza mshahara ni maelewano. Karibuni
 
Anahitajika msaidizi wa namna hiyo; sifa awe msichana na umri miaka 18-25, awe anajua anachofanya, asiwe mkorofi kwa wateja, awe mwwminifu, awe ana elimu angalau ya computer, msafi na awe anapenda kujifunza mshahara ni maelewano. Karibuni.
 
Anahitajika msaidizi wa namna hiyo; sifa awe msichana na umri miaka 18-25, awe anajua anachofanya, asiwe mkorofi kwa wateja, awe mwwminifu, awe ana elimu angalau ya computer, msafi na awe anapenda kujifunza mshahara ni maelewano. Karibuni.
HUKU KUIBIANA AVATAR VIPI MKUU
 
humu hakuna mwanasheria mkuu maana huyu anatakiwa aende jela kwa kosa la kugushi signature ya mtu
watu sio wazuri duuh...nilidhani hii ndio itakuwa ya mwisho kuibadili ila na hii pia wameiba
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom