Msaidieni rafiki yangu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaidieni rafiki yangu

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Maria Roza, Feb 11, 2011.

 1. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #1
  Feb 11, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Michango yetu ni msaada mkubwa!
   
 2. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #2
  Feb 11, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Nivizuri ameusikia ukweli mwenyewe, sasa aangalie mbele, maana kama asingefahamu still yangemkuta na angeeseka zaidi.yote ni madhara ya kukurupuka kufuata akili maana kwenye hili la kutamani akili huusika zaidi.
  Mpe pole sana ila aishi kwa kuujua ukweli.
   
 3. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #3
  Feb 11, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  i see Maria Roza ngoja kwanza nipate coffee ndo nirudi hapa pagumu mwenzio akinyolewa .......:coffee::coffee:
   
 4. Ambassador

  Ambassador JF-Expert Member

  #4
  Feb 11, 2011
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 932
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Kama hamna ugomvi muombe mwende mahali patulivu mkishapiga stori zikakolea muulize kwa upole kama kweli anakupenda kwa dhati. Akisema anakupenda mwambie umepata taarifa za uhakika kwamba ana mpango wa kuoa. Atakurupuka kukuuliza nani kakwambia, mwambie unataka kusikia toka kwake. Hapo ndo pa kuanzia.......

  Na akisema hakupendi muombe aweke wazi sababu za kutokupenda. Baadae mnaweza kuwashirikisha wazazi kadri ya ugumu wa issue. Pole
   
 5. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #5
  Feb 11, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  nadhani mumeo ni mtu makini,kama ataweza kukuletea mwenzio wa kukusaidia co mbaya,tena umesikia akisema anampenda sasa tatzo liko wapi? We tulia kama umesikia ni kusubiri utekelezaji.
   
 6. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #6
  Feb 11, 2011
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  ye atulie, aulize kwa upole kama huyo mume ana plan gani na yeye, mwisho ataamua pa kuanzia na kuchukua maamuzi sahihi
   
 7. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #7
  Feb 11, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Dah!Kweli wanaume wengine ni hatari!Well kama amemsikia akiyasema hayo mwenyewe kilichobaki ni kujulishwa ili awe na uhakika!Kwanza ajiandae kupokea jibu lolote!Akusanye nguvu za kuweza kupokea na kukabilia na chochote kile atakachoambiwa!Ni ngumu ila kama mumewe kaamua kweli then amchukue mwanae wakatafute maisha yao mbele kwa mbele!Akimng'ang'ania mwanaume asiyempenda na anaeweza kua amemchoka ataishia kunyanyasika tu!Pole yake!
   
 8. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #8
  Feb 11, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Hapo kweenye Blue tunatofautiana kidogo mpaka muomba msaada atufafanulie yafuatayo;
  1. kabla ya kusikia maongezi hayo mahusiano yake na mumewe yalikuwaje?
  2. Alifunga ndoa kanisani, lakini je, kati yao kunaaliye badili dini kwa minajili ya hiyo ndoa?
  3. Anaumri gani 20's au 30's
   
 9. A

  Aine JF-Expert Member

  #9
  Feb 11, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,613
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Si rahisi kama unavyofikiria!!!!!!!
   
 10. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #10
  Feb 11, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Aaagh eebana eeee hii kali, mama muage mumeo kwa upendo kabisa beba mwanao rudi kwenu kwa wazazi maana huyo akiletwa humo na hivi anapendeka sana na mumeo ujue utaambulia vioja vya ajabu kabisa!
  Si una kwenu na hukufukuzwa aga vzr rudi kwenu endelea kumuomba mungu atakusaidia kabisa! Kila jambo linalotokea duniani lina maana yake na huwezi kuijua sasa hv ila utaijua baadaye kabisa. Kumbuka mawazo ya mungu ni tofauti na ya binadamu na yameachana kwa umbali mkubwa mnoooo!
   
 11. A

  Aine JF-Expert Member

  #11
  Feb 11, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,613
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Naungana na wewe kabisa ambassador, hebu apate muda wa kumuambia anachokijua then amsikie kwa mdomo wake anasemaje?
  Na amuhakikishie anajua mpango mzima wa lengo lake la kutaka kuoa.
   
 12. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #12
  Feb 11, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Jamani huyo dada asikurupuke kuondoka, sikuhizi kuna siasa za maji taka, watu wanakuchanganyia unakimbia kwa mihasira yako, mwisho wa siku unagundua mchezo mambo yanakuw ndio basi tena. wanasema ukiona manyoya keshaliwa huyo.... aangalie sio kukimbiakimbia:roll:
   
 13. L

  Lulu Chiza Member

  #13
  Feb 11, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mhh jamani nyie hebu tuchukue second tufikirie kabla ya kuandika chochote maana...si mambo marahisi haya
  na kila ushauri tunaompa lazima tufikiri kuwa matokeo yake anaweza kuyahandle?ameomba msaada wa ushauri..please lets think kidogo..si unajua kwanza mapenzi yanauma?
  Ngoja nifikiri then i will advice
   
 14. DaMie

  DaMie JF-Expert Member

  #14
  Feb 11, 2011
  Joined: Mar 24, 2010
  Messages: 686
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Huyo anayetaka kuolewa hafahamu kama kuna mwenzake ndani ya ndoa? Anang'ang'ania kuingia nyumba ya mwenzake, afahamu mwenzake alipendwa kama yeye na iko siku naye atatafutiwa mwingine. Ndugu yangu penzi likishachuja kunakuwa hakuna tena raha ya kuishi pamoja, kama unaweza ondoka na mwanao mkaanze maisha na Mungu atakuwezesha kwa kila namna. Nimeweza.
   
 15. E

  Edo JF-Expert Member

  #15
  Feb 11, 2011
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 728
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Lakini huyu mwanaume hajasema kuwa hampendi mke wake wa sasa! Japo nahisi walikuwa wana mtest huyu mke wa sasa maana walijua anatabia za kuchungulia na kunyatia mazungumzo!
   
 16. Seto

  Seto JF-Expert Member

  #16
  Feb 11, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 961
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35

  UTAFANYA WATU WAJINYONGE :laugh:
   
 17. L

  Lulu Chiza Member

  #17
  Feb 11, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  So true...as i said please think abt this guys kabla hamjatoa advice bc as we all know wanaume ni kama watoto they never know what they want....i think she have a right to stand for her married n never let it fall apart bc u as a woman ndo unadicide when to end ur married..if u love your husband please fight for ur married otherwise......the choice is urs end of the day n u have to bare the coinsenqunsys of ur choices
   
 18. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #18
  Feb 11, 2011
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Hiyo ndoa ya pili itafanyika wapi? kwa ukristo nadhani haiwezekani, nawe una haki ya kikanisa na kikatiba pia kupinga ndoa hiyo. hata kama ameonekana kumpenda huyo mwanamke, usikubali aoe kirahisi tu, tetea ndoa yako mama. Je mahusiano yenu yakoje? yamebadilika?
   
 19. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #19
  Feb 11, 2011
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Naungana nawe Elia, hivi kwa hali ya kawaida, mtu mwizi anajua kuna ndoa ya kikristo naye anataka ndoa, ndoa gani? ya kimila, kiislamu au bomani? anajiamini vipi kama si siasa za maji taka? tulia dada tetea ndoa yako mpaka tone la mwisho, huyo mwizi asipate kirahisirahisi tu, ye si kesha sema bila ndoa hataki. Huyo mume ajue si kila pendo linawezekana kama alikosea mwamnzi hana budi kuface the consequences.
   
 20. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #20
  Feb 11, 2011
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
   
Loading...