rakeyescarl
JF-Expert Member
- Dec 9, 2007
- 481
- 147
Wana JF,
Naomba mnisaidie tatizo hili linalonisumbua sana maishani.
Mwanangu ana umri wa miaka 5 na nusu.Na alizaliwa bila tatizo na kwa njia ya kawaida.
Ni msichana.
Tatizo lake kubwa alilonalo ni kutokwa na haja kubwa bila kujijua.
Tumejaribu wataalamu wengi hapa MWZ/TZ lakini tumeshindwa.
Kama kuna Hospitali au Dr.popote hapa duniani naomba nijulishwe nitaomba likizo nimfuate bila kujali gharama.
Tatizo hilo si muda wote lakini najiuliza akianza darasa la kwanza itakuwaje. Ana akili sana na hana tatizo lingine lolote. Kukojoa anakojoa vizuri kabisa na hata kujisaidia,ila hizi incidences za kujisaidia bila kujijua linatusumbua sana kama familia,pamoja na sala tunazoendelea nazo na maombi lakini tunahitaji pia msaada wa utabibu.
Asante. rakeyescarl@yahoo.ie
peleka kwa wachungaji wa kilokole wakamwombee, hata mimi kama unataka naweza kumwombea na atapona kabisa. hakuna linaloshindikana kwa Mungu. kwa kawaida, kila tatizo duniani lina chanzo chake, na kama haujakata mzizi/source, tatizo halitakuja kuisha...wengi wakati watoto wanazaliwa wamekuwa wakiwavalisha yale mabegi ya mganga wa jadi, wengine wana mizimu ya kwao, wengine wamemchanja chale wanasema za ulinzi, wengine kipindi cha mimba walienda kwa mganga wa kienyeji either wakitaka kupata mimba wakati wa kumtafuta mtoto au wakati ana mimba akifikiri anailinda mimba ising'ofolewe, kumbe ukimpa shetani nafasi hivyo, anaweka alama kwa mtoto wako, yaani anaweka jini kwenye mtoto wako..ukimpeleka mtoto wako kwa mganga etc, utaweka jini kwake na itafika muda lile jini litafanya litakavyo...simaanishi wewe ndo umefanya, ila jichunguze from a -z afu umwombe Mungu atakusaidia.
kuna mtu mwezi uliopita, yeye anasali kwetu, mtoto wake amemaliza form five, uyo mama ameolewa na watu wa tanga. sasa wakati wa kuolewa, walichelewa kidogo kupata mtoto, mamamkwe akawaita akawapa kamzizi ili wanywe, wakanywa kamzizi, wakapata mimba ya huyo mtoto ambaye sasa ni form five. sasa mwezi uliopita, mtoto wake alianza kulia akimwita mamake...mamaaa, bibi anataka kunichukua/kunibeba, mamake akasema, we mtoto unaongea nini, bibiyako si yuko tanga, mtoto akasema hapana, bibi huyo hapa...mama akaona kitu cha ajabu...palepale akaanza kukemea kwa Jina la Yesu we wakala wa shetani ushindwe, nakushinda kwa Jina la Yesu, mtoto wangu hatakufa ataishi..basi, akapotea(kwa huyo mtoto)...akambeba mtoto mkukumkuku akampeleka kanisani haraka, kule kawe kwa gwajima, alipofika pale, wakapiga maombi ya nguvu, mtoto akadondoka chali...mashetani yaliyoko ndani yake yakaanza kujisema, yakasema..SISI TULIWEKWA NA BIBI YAKE KIPINDI WALICHOKUNYWA DAWA, NA ILIKUWA AKIFIKA MIAKA KUMI NA NANE TU TUMUUE AKAKAE KWENYE KICHANJA CHA BIBI...wakatandika maombi ya ajabu...mtoto akapona..
mama akaenda kumweleza babake aliyekuwa kazini, baba akakataa akasema mamangu mimi sio mchawi...basi, yule baba akapiga simu kwa mamake tanga hapohapo, badala ya kupokea salamu ya furaha toka kwa mama, akapokea fujo na matusi...mama kawaka moto anamshambulia yule baba anasea, KWANINI MNANIKATALIA MTOTO, KWANI HUYO MWANAMKE ANAFIKIRI HAO WATOTO NI WATOTO WAKE?SI WATOTO WETU, WANAMHUSU NINI, akamwambia yeye mama anamtaka huyo mtoto...baba hakuamini macho yake, alichofanya, aliwasha gari yake palepale, akawaomba wachungaji kadhaa wa pale kanisani, akawapakiza akakimbia nao hadi tanga kumfuata mamake ili wakamwombee na kumhubiria aokoke..hii kitu imetokea na ni hakika.
Ole wenu nyie ambao watoto wenu mliwakabidhi kwa waganga wa kienyeji, kuwachanja chale etc....mambo haya ndivyo yalivyo, watoto ni zawadi toka kwa Mungu, hata kama shetani aliyekuwa amefunga akiamua kufungua yeye mwenyewe (afungaye anaweza kufungua), atakapofungua anaweka lock, wakati wowote watoto wenu wanaweza kurudi kwa bibi. amini usiamini.
jamani kuomba si vibaya,lakini hilo tatizo lake ni la kimatibabu zaidi.Akitibiwa ataponapeleka kwa wachungaji wa kilokole wakamwombee, hata mimi kama unataka naweza kumwombea na atapona kabisa. hakuna linaloshindikana kwa Mungu. kwa kawaida, kila tatizo duniani lina chanzo chake, na kama haujakata mzizi/source, tatizo halitakuja kuisha...wengi wakati watoto wanazaliwa wamekuwa wakiwavalisha yale mabegi ya mganga wa jadi, wengine wana mizimu ya kwao, wengine wamemchanja chale wanasema za ulinzi, wengine kipindi cha mimba walienda kwa mganga wa kienyeji either wakitaka kupata mimba wakati wa kumtafuta mtoto au wakati ana mimba akifikiri anailinda mimba ising'ofolewe, kumbe ukimpa shetani nafasi hivyo, anaweka alama kwa mtoto wako, yaani anaweka jini kwenye mtoto wako..ukimpeleka mtoto wako kwa mganga etc, utaweka jini kwake na itafika muda lile jini litafanya litakavyo...simaanishi wewe ndo umefanya, ila jichunguze from a -z afu umwombe Mungu atakusaidia.
kuna mtu mwezi uliopita, yeye anasali kwetu, mtoto wake amemaliza form five, uyo mama ameolewa na watu wa tanga. sasa wakati wa kuolewa, walichelewa kidogo kupata mtoto, mamamkwe akawaita akawapa kamzizi ili wanywe, wakanywa kamzizi, wakapata mimba ya huyo mtoto ambaye sasa ni form five. sasa mwezi uliopita, mtoto wake alianza kulia akimwita mamake...mamaaa, bibi anataka kunichukua/kunibeba, mamake akasema, we mtoto unaongea nini, bibiyako si yuko tanga, mtoto akasema hapana, bibi huyo hapa...mama akaona kitu cha ajabu...palepale akaanza kukemea kwa Jina la Yesu we wakala wa shetani ushindwe, nakushinda kwa Jina la Yesu, mtoto wangu hatakufa ataishi..basi, akapotea(kwa huyo mtoto)...akambeba mtoto mkukumkuku akampeleka kanisani haraka, kule kawe kwa gwajima, alipofika pale, wakapiga maombi ya nguvu, mtoto akadondoka chali...mashetani yaliyoko ndani yake yakaanza kujisema, yakasema..SISI TULIWEKWA NA BIBI YAKE KIPINDI WALICHOKUNYWA DAWA, NA ILIKUWA AKIFIKA MIAKA KUMI NA NANE TU TUMUUE AKAKAE KWENYE KICHANJA CHA BIBI...wakatandika maombi ya ajabu...mtoto akapona..
mama akaenda kumweleza babake aliyekuwa kazini, baba akakataa akasema mamangu mimi sio mchawi...basi, yule baba akapiga simu kwa mamake tanga hapohapo, badala ya kupokea salamu ya furaha toka kwa mama, akapokea fujo na matusi...mama kawaka moto anamshambulia yule baba anasea, KWANINI MNANIKATALIA MTOTO, KWANI HUYO MWANAMKE ANAFIKIRI HAO WATOTO NI WATOTO WAKE?SI WATOTO WETU, WANAMHUSU NINI, akamwambia yeye mama anamtaka huyo mtoto...baba hakuamini macho yake, alichofanya, aliwasha gari yake palepale, akawaomba wachungaji kadhaa wa pale kanisani, akawapakiza akakimbia nao hadi tanga kumfuata mamake ili wakamwombee na kumhubiria aokoke..hii kitu imetokea na ni hakika.
Ole wenu nyie ambao watoto wenu mliwakabidhi kwa waganga wa kienyeji, kuwachanja chale etc....mambo haya ndivyo yalivyo, watoto ni zawadi toka kwa Mungu, hata kama shetani aliyekuwa amefunga akiamua kufungua yeye mwenyewe (afungaye anaweza kufungua), atakapofungua anaweka lock, wakati wowote watoto wenu wanaweza kurudi kwa bibi. amini usiamini.
peleka kwa wachungaji wa kilokole wakamwombee, hata mimi kama unataka naweza kumwombea na atapona kabisa. hakuna linaloshindikana kwa Mungu. kwa kawaida, kila tatizo duniani lina chanzo chake, na kama haujakata mzizi/source, tatizo halitakuja kuisha...wengi wakati watoto wanazaliwa wamekuwa wakiwavalisha yale mabegi ya mganga wa jadi, wengine wana mizimu ya kwao, wengine wamemchanja chale wanasema za ulinzi, wengine kipindi cha mimba walienda kwa mganga wa kienyeji either wakitaka kupata mimba wakati wa kumtafuta mtoto au wakati ana mimba akifikiri anailinda mimba ising'ofolewe, kumbe ukimpa shetani nafasi hivyo, anaweka alama kwa mtoto wako, yaani anaweka jini kwenye mtoto wako..ukimpeleka mtoto wako kwa mganga etc, utaweka jini kwake na itafika muda lile jini litafanya litakavyo...simaanishi wewe ndo umefanya, ila jichunguze from a -z afu umwombe Mungu atakusaidia.
kuna mtu mwezi uliopita, yeye anasali kwetu, mtoto wake amemaliza form five, uyo mama ameolewa na watu wa tanga. sasa wakati wa kuolewa, walichelewa kidogo kupata mtoto, mamamkwe akawaita akawapa kamzizi ili wanywe, wakanywa kamzizi, wakapata mimba ya huyo mtoto ambaye sasa ni form five. sasa mwezi uliopita, mtoto wake alianza kulia akimwita mamake...mamaaa, bibi anataka kunichukua/kunibeba, mamake akasema, we mtoto unaongea nini, bibiyako si yuko tanga, mtoto akasema hapana, bibi huyo hapa...mama akaona kitu cha ajabu...palepale akaanza kukemea kwa Jina la Yesu we wakala wa shetani ushindwe, nakushinda kwa Jina la Yesu, mtoto wangu hatakufa ataishi..basi, akapotea(kwa huyo mtoto)...akambeba mtoto mkukumkuku akampeleka kanisani haraka, kule kawe kwa gwajima, alipofika pale, wakapiga maombi ya nguvu, mtoto akadondoka chali...mashetani yaliyoko ndani yake yakaanza kujisema, yakasema..SISI TULIWEKWA NA BIBI YAKE KIPINDI WALICHOKUNYWA DAWA, NA ILIKUWA AKIFIKA MIAKA KUMI NA NANE TU TUMUUE AKAKAE KWENYE KICHANJA CHA BIBI...wakatandika maombi ya ajabu...mtoto akapona..
mama akaenda kumweleza babake aliyekuwa kazini, baba akakataa akasema mamangu mimi sio mchawi...basi, yule baba akapiga simu kwa mamake tanga hapohapo, badala ya kupokea salamu ya furaha toka kwa mama, akapokea fujo na matusi...mama kawaka moto anamshambulia yule baba anasea, KWANINI MNANIKATALIA MTOTO, KWANI HUYO MWANAMKE ANAFIKIRI HAO WATOTO NI WATOTO WAKE?SI WATOTO WETU, WANAMHUSU NINI, akamwambia yeye mama anamtaka huyo mtoto...baba hakuamini macho yake, alichofanya, aliwasha gari yake palepale, akawaomba wachungaji kadhaa wa pale kanisani, akawapakiza akakimbia nao hadi tanga kumfuata mamake ili wakamwombee na kumhubiria aokoke..hii kitu imetokea na ni hakika.
Ole wenu nyie ambao watoto wenu mliwakabidhi kwa waganga wa kienyeji, kuwachanja chale etc....mambo haya ndivyo yalivyo, watoto ni zawadi toka kwa Mungu, hata kama shetani aliyekuwa amefunga akiamua kufungua yeye mwenyewe (afungaye anaweza kufungua), atakapofungua anaweka lock, wakati wowote watoto wenu wanaweza kurudi kwa bibi. amini usiamini.
Yote kheri-lakini unafikiri nayafurahia haya. Maliza kutangaza dini, halafu nitaku PM.
Asanteni,CCBRT wanadili na hii maneno nadhani. Wanawake waliokwisha jifungua, wenye FISTULA nayo c yafanania hivi? Kwa binti wa umri huo cjui ndo linaitwaje hilo tatizo. Pale CCBRT matibabu kwa matatizo ya nature hii ni bure kama sikosei. Hebu jaribu kuwatafuta, wako vizuri pia.
inawezekana linatibika. kuna magonjwa mengi sana yanatibika. pamoja na yote, kuna magonjwa mengine yanayotibika kabisa lakini watu wametembea mahspitali yote bila kupona, hao utasemaje? nimehudumu kanisani muda mwingi. nimekuwa karibu na watu wenye matatizo muda mwingi. kuna watu wanaleta watoto wao wamezaliwa vizuri tu, lakini kwasababu ya madawa ya kienyeji, wamejikuta watoto wanabadilika wanakuwa mazuzu/tahira hivihivi kabisa, kwasababu walimkabidhi kwa shetani. asilimia 80% ya watu wa pwani haya mambo wanayafanya sana, hasa kupitia mashehe na waganga akina manyaunyau...hili halifichiki, nenda magomeni, temeke yote, Tanga yote, manzese etc angalia kati ya watoto chini ya miaka mitatu wangapi hawana begi jeusi kiuononi, na wamama wangapi kipindi cha ujauzito au kipindi cha kunyonyesha hawakunywa dawa ya kienyeji, utashangaa karibia wote wako hivyo...hilo linatibika kabisa nenda muhimbili, sikubaliani nawe kua umeenda wataalamu wengi kama unavyosema, labda wa kienyeji bt ungekua muhmbili sasa hv
peleka kwa wachungaji wa kilokole wakamwombee, hata mimi kama unataka naweza kumwombea na atapona kabisa. hakuna linaloshindikana kwa Mungu. kwa kawaida, kila tatizo duniani lina chanzo chake, na kama haujakata mzizi/source, tatizo halitakuja kuisha...wengi wakati watoto wanazaliwa wamekuwa wakiwavalisha yale mabegi ya mganga wa jadi, wengine wana mizimu ya kwao, wengine wamemchanja chale wanasema za ulinzi, wengine kipindi cha mimba walienda kwa mganga wa kienyeji either wakitaka kupata mimba wakati wa kumtafuta mtoto au wakati ana mimba akifikiri anailinda mimba ising'ofolewe, kumbe ukimpa shetani nafasi hivyo, anaweka alama kwa mtoto wako, yaani anaweka jini kwenye mtoto wako..ukimpeleka mtoto wako kwa mganga etc, utaweka jini kwake na itafika muda lile jini litafanya litakavyo...simaanishi wewe ndo umefanya, ila jichunguze from a -z afu umwombe Mungu atakusaidia.
kuna mtu mwezi uliopita, yeye anasali kwetu, mtoto wake amemaliza form five, uyo mama ameolewa na watu wa tanga. sasa wakati wa kuolewa, walichelewa kidogo kupata mtoto, mamamkwe akawaita akawapa kamzizi ili wanywe, wakanywa kamzizi, wakapata mimba ya huyo mtoto ambaye sasa ni form five. sasa mwezi uliopita, mtoto wake alianza kulia akimwita mamake...mamaaa, bibi anataka kunichukua/kunibeba, mamake akasema, we mtoto unaongea nini, bibiyako si yuko tanga, mtoto akasema hapana, bibi huyo hapa...mama akaona kitu cha ajabu...palepale akaanza kukemea kwa Jina la Yesu we wakala wa shetani ushindwe, nakushinda kwa Jina la Yesu, mtoto wangu hatakufa ataishi..basi, akapotea(kwa huyo mtoto)...akambeba mtoto mkukumkuku akampeleka kanisani haraka, kule kawe kwa gwajima, alipofika pale, wakapiga maombi ya nguvu, mtoto akadondoka chali...mashetani yaliyoko ndani yake yakaanza kujisema, yakasema..SISI TULIWEKWA NA BIBI YAKE KIPINDI WALICHOKUNYWA DAWA, NA ILIKUWA AKIFIKA MIAKA KUMI NA NANE TU TUMUUE AKAKAE KWENYE KICHANJA CHA BIBI...wakatandika maombi ya ajabu...mtoto akapona..
mama akaenda kumweleza babake aliyekuwa kazini, baba akakataa akasema mamangu mimi sio mchawi...basi, yule baba akapiga simu kwa mamake tanga hapohapo, badala ya kupokea salamu ya furaha toka kwa mama, akapokea fujo na matusi...mama kawaka moto anamshambulia yule baba anasea, KWANINI MNANIKATALIA MTOTO, KWANI HUYO MWANAMKE ANAFIKIRI HAO WATOTO NI WATOTO WAKE?SI WATOTO WETU, WANAMHUSU NINI, akamwambia yeye mama anamtaka huyo mtoto...baba hakuamini macho yake, alichofanya, aliwasha gari yake palepale, akawaomba wachungaji kadhaa wa pale kanisani, akawapakiza akakimbia nao hadi tanga kumfuata mamake ili wakamwombee na kumhubiria aokoke..hii kitu imetokea na ni hakika.
Ole wenu nyie ambao watoto wenu mliwakabidhi kwa waganga wa kienyeji, kuwachanja chale etc....mambo haya ndivyo yalivyo, watoto ni zawadi toka kwa Mungu, hata kama shetani aliyekuwa amefunga akiamua kufungua yeye mwenyewe (afungaye anaweza kufungua), atakapofungua anaweka lock, wakati wowote watoto wenu wanaweza kurudi kwa bibi. amini usiamini.
Nawashukuru nyote mlionijibu na mnaoendelea kunijibu,sijapata ufumbuzi lakini wana JF wengi walionitumia PM naona kuna mwanga mkubwa.
Ila kwa ufupi, Muhimbili,Aghakhan,kote niliishafika ila sasa nimepata consulation ambayo naona mwanga mkubwa. Nawashukuru sana x 1000.