Watoto walikuwa wakicheza, muda wa kurudi nyumbani ukafika.
Mmoja akaanza kulia, Mtumishi wa Mungu akamuuliza, 'Unalia nini?'.
'Nimepoteza yeboyebo zangu', dogo akajibu.
Mtumishi akamwambia, 'Nyamaza mwachie Mungu'.
Dogo akamwambia, 'Hazimtoshi ni ndogo'.😛ound: