Msaidieni huyu jamani!

Msaidieni huyu jamani!

Kitotolii

Member
Joined
Oct 1, 2013
Posts
36
Reaction score
2
Habar zenu wana jamvi! Naomba nianze kwa kuwaomba tafadhal 2saidiane mawazo ktk hili mi nina rafik angu wa kike amekua akiumia sana kwan kuna kaka ametokea kumpenda sana lakn anashndwa kumwambia mbya zaid hyo kaka anasoma dar na yey ypo tanga jaman anahitaji mawazo yenu afanye nin ili aweze kufkisha ujumbe!
 
Hana namba zake za simu? au hata keypad anaionea aibu? atumie hizo extrem za tigo kufikisha ujumbe wake maana wengi ndo wanatumia hiyo njia kutoa madukuduku yao
 
...hili pepo litawamaliza wengi sana. Ushauri wangu akome kutamani uzinzi...
 
mwambie atafute karatasi na amchoree kopa na kimshale kimetoboa hilo kopa katikati, halafu asiache kuweka na vitone vya damu kwa pembeni.
 
Kusema nakupenda imekuwa tatizo??

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
achukue hatua amwamwambie tuu maana waweza kuta ndo mpngo wa Mungu ulipo ila dah kuanza noma
 
Dunia ya sasa ni ya ukweli na uwazi, tamaduni za kuoneana aibu zimepitwa na wakati ila jiandae kuwa sex doll
 
Amenikumbusha Nyimbo moja ya Babloom Taarab inaitwa Nampenda nzuri sana, haya mwambie kama anampenda kweli kwanza ajipange kwa jibu lolote atakalo pewa asitegemee ndio sanaa, na pia hata akikubaliwa pia aangalie sana asije kuchokolewa roho akafanywa kipoza roho wa akiba.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom