Msaidieni dada huyu

Nipm saiz nimsaidie
Habari zenu....
Kuna mdada kaomba nimuweke humu, lengo lake..
Anatafuta kazi yeyote hata msaidizi wa ndani (house girl) anamudu kufanya kazi hiyo...yuko tayari hata kuishi hukohuko job au kurudi kwao.

Ushahidi wangu kwake.
Naamini anaweza kufanya kaz pia ni mwaminifu,mchapakazi na anajali zaidi anapenda watoto hivyo kama unahitaj msichana kuwa na amani juu ya huyu.

Umri wake ni miaka 23 na anaishi dar es salaam.

Msaidieni tafadhari.
 
kampuni yetu inatafuta wafanyakazi wa kike.mshahara 150,000 kwa mwezi.chakula cha mchana free.km yupo serious mwambie anitafute.umri co ttz.mwmbie anitext kupitia namba yng 0712376107 ajitambulishe mm ntampgia nimpe maelekezo.
 
kabla ya kuamua kufanya kazi za ndan alikuwa anajishughulisha na nini??? atapata kazi lakini 23 labda awe na kaumbo kakitoto kidogo kumpa imani mama mwenyenyumba ..ciunajua likiwa jimama linaweza likaleta temptation ndani ya nyumba alfu ikawa shidaa...ADAM MWENYEWE ALISHAWISHIWA NA EVA/HAWA
 
Ila kuwa makini uxje kumtoa sadaka huyu mtu maana wengine hawahitaji wfny kazi bhasii tuu mbwembwe ili wapate masamsing manyuva
 
wife huwa haniaminiamini isingekuwa hivyo ningeku-PM akaja faster hapa Buguruni. Wife mwenyewe yuko sahihi kabisa kwa kutoniamini 7bu mimi nawafumuaga ma-housegirl kama sina akili nzuri vile. Sasa sijui tufanyaje kwani umenitamanisha tayari, ngoja nijaribu kumrubuni wife.
 
Natamani nikuone mkuu...weka picha
 
Dada ambaye aliniomba nimuwekee uzi huu anapenda kuwashukuru wale wote walio onesha hali ya kumsaidia, makofi kwao tafadhari.
Pia anamshukuru yule ambaye kafanikisha kumpa kazi.
Anaishukuru pia JF kwa ushirikiano mzuri uliopo.
Anasema "Ahsante sana na mungu awaoneshe njia za heri"
 
Mimi nina shida na msichana nmekuinbox mkuu...

Habari zenu....
Kuna mdada kaomba nimuweke humu, lengo lake..
Anatafuta kazi yeyote hata msaidizi wa ndani (house girl) anamudu kufanya kazi hiyo...yuko tayari hata kuishi hukohuko job au kurudi kwao.

Ushahidi wangu kwake.
Naamini anaweza kufanya kaz pia ni mwaminifu,mchapakazi na anajali zaidi anapenda watoto hivyo kama unahitaj msichana kuwa na amani juu ya huyu.

Umri wake ni miaka 23 na anaishi dar es salaam.

Msaidieni tafadhari.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom