Kuna mwana anakula kitu cha laki 8 ukijumlisha na maover time yao so ukitoa hapo kama elfu 70 hivi ya hao washkaj wa kodi na mapensions nini kinachobaki chako hikooo!!!:A S 465:Habari waungwana...
Samahani kwa mwenye kujua take home salary au range ya mshahara ya nmb kwa graduate anisaidie.
Natanguliza shukrani!
Kuna mwana anakula kitu cha laki 8 ukijumlisha na maover time yao so ukitoa hapo kama elfu 70 hivi ya hao washkaj wa kodi na mapensions nini kinachobaki chako hikooo!!!:A S 465:
Basic ni laki tano.