dazefx Member Joined Dec 3, 2017 Posts 7 Reaction score 2 Nov 6, 2020 #1 Poleni na Majukumu jamani. PC yangu leo asubh niliizima kuja kuiwasha Fan inazunguka ila Kioo aki Display chochote wala kuleta Logo ya Dell ila Fan inazunguka. Ila nimeifungua kugusa processor ni inajoto sana tena sana. Msahada wenu jamani
Poleni na Majukumu jamani. PC yangu leo asubh niliizima kuja kuiwasha Fan inazunguka ila Kioo aki Display chochote wala kuleta Logo ya Dell ila Fan inazunguka. Ila nimeifungua kugusa processor ni inajoto sana tena sana. Msahada wenu jamani
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 166,470 Reaction score 185,087 Nov 7, 2020 #2 Pole sana... Ngoja waje kukupa muongozo... Cc: mahondaw
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,063 Reaction score 43,492 Nov 7, 2020 #3 1. Inawezekana thermal paste imekauka na ku expire, ulivyogusa hio cpu kulikuwa na uji uji juu? 2. Labda cooling solution haigusani na cpu 3.inawezekana pia cpu ipo ok, ni kawaida cpu kufika 80 ama 90C
1. Inawezekana thermal paste imekauka na ku expire, ulivyogusa hio cpu kulikuwa na uji uji juu? 2. Labda cooling solution haigusani na cpu 3.inawezekana pia cpu ipo ok, ni kawaida cpu kufika 80 ama 90C
polokwane JF-Expert Member Joined Dec 16, 2018 Posts 3,343 Reaction score 5,864 Nov 8, 2020 #4 Chief-Mkwawa said: 1. Inawezekana thermal paste imekauka na ku expire, ulivyogusa hio cpu kulikuwa na uji uji juu? 2. Labda cooling solution haigusani na cpu 3.inawezekana pia cpu ipo ok, ni kawaida cpu kufika 80 ama 90C Click to expand... Hivi thermal paste zinapatikana hapa bongo
Chief-Mkwawa said: 1. Inawezekana thermal paste imekauka na ku expire, ulivyogusa hio cpu kulikuwa na uji uji juu? 2. Labda cooling solution haigusani na cpu 3.inawezekana pia cpu ipo ok, ni kawaida cpu kufika 80 ama 90C Click to expand... Hivi thermal paste zinapatikana hapa bongo
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,063 Reaction score 43,492 Nov 8, 2020 #5 polokwane said: Hivi thermal paste zinapatikana hapa bongo Click to expand... 3000 aggrey kwa mafundi mule unazipata
polokwane said: Hivi thermal paste zinapatikana hapa bongo Click to expand... 3000 aggrey kwa mafundi mule unazipata
Travis 1 JF-Expert Member Joined Feb 17, 2015 Posts 949 Reaction score 1,518 Nov 8, 2020 #6 Samahani kiongozi. Hivi tatizo la laptop kupiga kelele sana linasababishwa na nini? na ipi njia ya kutatua tatizo. NB: Feni haina vumbi Chief-Mkwawa said: 1. Inawezekana thermal paste imekauka na ku expire, ulivyogusa hio cpu kulikuwa na uji uji juu? 2. Labda cooling solution haigusani na cpu 3.inawezekana pia cpu ipo ok, ni kawaida cpu kufika 80 ama 90 Click to expand...
Samahani kiongozi. Hivi tatizo la laptop kupiga kelele sana linasababishwa na nini? na ipi njia ya kutatua tatizo. NB: Feni haina vumbi Chief-Mkwawa said: 1. Inawezekana thermal paste imekauka na ku expire, ulivyogusa hio cpu kulikuwa na uji uji juu? 2. Labda cooling solution haigusani na cpu 3.inawezekana pia cpu ipo ok, ni kawaida cpu kufika 80 ama 90 Click to expand...
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,063 Reaction score 43,492 Nov 8, 2020 #7 travis 1 said: Samahani kiongozi. Hivi tatizo la laptop kupiga kelele sana linasababishwa na nini? na ipi njia ya kutatua tatizo. NB: Feni haina vumbi Click to expand... Mkuu anza na task manager kwanza, right click taskbar pale chini kisha chagua task manager kipindi laptop inapiga kelele, cpu haija jaa 100%?
travis 1 said: Samahani kiongozi. Hivi tatizo la laptop kupiga kelele sana linasababishwa na nini? na ipi njia ya kutatua tatizo. NB: Feni haina vumbi Click to expand... Mkuu anza na task manager kwanza, right click taskbar pale chini kisha chagua task manager kipindi laptop inapiga kelele, cpu haija jaa 100%?
Travis 1 JF-Expert Member Joined Feb 17, 2015 Posts 949 Reaction score 1,518 Nov 8, 2020 #8 Chief-Mkwawa said: Mkuu anza na task manager kwanza, right click taskbar pale chini kisha chagua task manager kipindi laptop inapiga kelele, cpu haija jaa 100%? Click to expand... CPU iko na 23%
Chief-Mkwawa said: Mkuu anza na task manager kwanza, right click taskbar pale chini kisha chagua task manager kipindi laptop inapiga kelele, cpu haija jaa 100%? Click to expand... CPU iko na 23%
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,063 Reaction score 43,492 Nov 8, 2020 #9 travis 1 said: CPU iko na 23% Click to expand... Kama cpu haiload mpaka mwisho na inapiga kelele pengine ni tatizo tu la ndani la hardware, umeifungua?
travis 1 said: CPU iko na 23% Click to expand... Kama cpu haiload mpaka mwisho na inapiga kelele pengine ni tatizo tu la ndani la hardware, umeifungua?
Travis 1 JF-Expert Member Joined Feb 17, 2015 Posts 949 Reaction score 1,518 Nov 8, 2020 #10 Chief-Mkwawa said: Kama cpu haiload mpaka mwisho na inapiga kelele pengine ni tatizo tu la ndani la hardware, umeifungua? Click to expand... Hapana... Nikiifungua inatakiwa nifanye nini?
Chief-Mkwawa said: Kama cpu haiload mpaka mwisho na inapiga kelele pengine ni tatizo tu la ndani la hardware, umeifungua? Click to expand... Hapana... Nikiifungua inatakiwa nifanye nini?
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,063 Reaction score 43,492 Nov 8, 2020 #11 travis 1 said: Hapana... Nikiifungua inatakiwa nifanye nini? Click to expand... Unaangalia inaweza kuwa mdudu ameingia, ama vumbi ama tatizo jengine, fungua tu uangalie unaweza pata idea.
travis 1 said: Hapana... Nikiifungua inatakiwa nifanye nini? Click to expand... Unaangalia inaweza kuwa mdudu ameingia, ama vumbi ama tatizo jengine, fungua tu uangalie unaweza pata idea.
Travis 1 JF-Expert Member Joined Feb 17, 2015 Posts 949 Reaction score 1,518 Nov 8, 2020 #12 Chief-Mkwawa said: Unaangalia inaweza kuwa mdudu ameingia, ama vumbi ama tatizo jengine, fungua tu uangalie unaweza pata idea. Click to expand... Poa mkuu. Acha kesho nitaifungua, maana sina tools za kufungulia. So mpaka nikanunue
Chief-Mkwawa said: Unaangalia inaweza kuwa mdudu ameingia, ama vumbi ama tatizo jengine, fungua tu uangalie unaweza pata idea. Click to expand... Poa mkuu. Acha kesho nitaifungua, maana sina tools za kufungulia. So mpaka nikanunue