Swali kwa nini misafara ya wakuu wetu mfano mkuu wa mkoa awe na msafara wa magari kumi? Ni mazingira gani yanatuma viongozi wetu wawe na msafara wa magari mengi? Nauliza kama mtu asiyeelewa.Kujifunza ni ruksa. Lakini kuiga ni kitu kingine, ni utumwa. Mazingira ya nchi yake yanamruhusu kuwa hivyo.
Kweli kabisa! Tuache kuigaiga tamaduni na uvumbuzi usio wetu.Kwa hiyo ulitaka nasi tuwaige? Hivi watanzania huu utamaduni wa kuiga na kufuata mila za watu utaisha lini? Ilianza hizi dini za maboti zisizo na tija kwetu, tumejimilikisha na kuacha imani zetu, kuna waafrika wanafunga ndoa wamevaa kanzu na masime kiunoni kujifananisha na jamii fulani bila hata kujuwa ukweli wa huo uvaaji. Kwa kweli wacha waafrika tuendelee kuchekwa tu.
. vip hakuna HELKOPTA ANGANI???Huu ndo msafara wa Waziri Mkuu wa Uingereza. Nchi ya tano kwa uchumi mkubwa duniani, bila shaka kuna jambo la kujifunza kwa viongozi wetu wa nchi changa za kiafrika especially sisi Tanzania. View attachment 965169
Na mshahara wake ni pauni laki moja na elfu arubaini na tisa kwa mwaka 149,000 sterling pounds. NARUDIA TENA KWA MWAKAHuu ndo msafara wa Waziri Mkuu wa Uingereza. Nchi ya tano kwa uchumi mkubwa duniani, bila shaka kuna jambo la kujifunza kwa viongozi wetu wa nchi changa za kiafrika especially sisi Tanzania. View attachment 965169
Mazingira ya nchi yake yanamruhusu kuwa hivyo.
Bongo bana yani hawa jamaa wanaaply vitu wanavyoona kwenye movie za hollyhood.Huu ndo msafara wa Waziri Mkuu wa Uingereza. Nchi ya tano kwa uchumi mkubwa duniani, bila shaka kuna jambo la kujifunza kwa viongozi wetu wa nchi changa za kiafrika especially sisi Tanzania. View attachment 965169
Kweli kabisa! Tuache kuigaiga tamaduni na uvumbuzi usio wetu.
Tungerudi kwenye kuvaa magome ya miti na ngozi kwani nguo hizi tumeiga tamaduni za watu. Turudi kwenye aina ya makazi tuliyokuwa nayo kabla hata ya wafanyabiashara wa mbali kuja, kwani hizi za kisasa nikuiga tu. Kwanini tutumie magari, kompyuta au simu? Hata hii mitandao tunayotumia tumeiga mifumo ya mawasiliano, turudi kwenye mifumo yetu ya zamani ya mawasiliano. Hakuna haja ya kuiga kitu chochote kutoka mataifa ya nje wala kutumia uvumbuzi wa wengine, tunaweza kuishi kivyetu kwa kutumia vya kwetu tu, tutakuwa "developdi dona kantri" mapema sana. Kuiga chochote kile ni kujididimiza kiakili na tutaendelea kuchekwa tu.
Mbona ni msafara wa kawaida tu kama wa Mh.waziri mkuu wa nchi kubwa na yenye nguvu kiuchumi Africa nchi ya Tanzania,embu tutumie picha za msafara wa malkia wa uingereza ili tuone,halafu ndio uludi na swali lako la kipopoma jukwaani.Huu ndo msafara wa Waziri Mkuu wa Uingereza. Nchi ya tano kwa uchumi mkubwa duniani, bila shaka kuna jambo la kujifunza kwa viongozi wetu wa nchi changa za kiafrika especially sisi Tanzania. View attachment 965169
njoo matopeni huku, shemeji yake
akiwa anatoka airport tu, ujue safari za gongo la mboto town shida
Kabla ya kukuelewesha kwanza tujue una umri gani?maana watoto chini ya umri wa miaka 18 hawaruhusiwi kumiliki simu.Swali kwa nini misafara ya wakuu wetu mfano mkuu wa mkoa awe na msafara wa magari kumi? Ni mazingira gani yanatuma viongozi wetu wawe na msafara wa magari mengi? Nauliza kama mtu asiyeelewa.