Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 23,064
- 48,039
Watajifunza kwa mifano maana vita si hiyo inaendelea Mkuu..bora umetupa na mifano halisi wengine humu wameweka ushabik kama vile Urusi inawalipa chochote
Watajifunza kwa mifano maana vita si hiyo inaendelea Mkuu..bora umetupa na mifano halisi wengine humu wameweka ushabik kama vile Urusi inawalipa chochote
Walikua wanaenda kiboya sana hivyo si hatari sana hawakujua kama pana Himars na linashabaha mbaya kabisa...
Sio kweli. Wala Marekani haijawahi kuficha aina ya Silaha inazozipeleka nchini Ukraine tangu Mwanzoni wa uvamizi wa Urusi Kama kweli umefuatilia mgogoro huu.
Msafara wa Magari ya kivita wa Urusi uliokuwa na urefu wa 64km ilikuwa mwezi wa 3. Marekani ilitangaza kutuma mifumo 4 ya HIMARS tarehe 16 Julai. Kwahiyo HIMARS hazikuhusika katika kuusambaratisha msafara huo wa Urusi.
Kama HIMARS zingelikuwepo Mwanzoni wa uvamizi basi Urusi isingeliweza kabisa kuyateka maeneo Yale kwa haraka Sana. Ukicheki Ramani ya Ukraine utagundua kwamba,Tangu Majeshi ya Ukraine yapatiwe Mifumo ya HIMARS basi Urusi haijateka mji wowote ule. Miji ilitekwa kwa haraka kabla ya ujio wa HIMARS.
Ule msururu wa mavifaru ulipgwa na silaha Javiline na Stinger unaweka begani hivi halafu unaweza kushambulia zaidi ya 16km, zile HIMARS za US zilichelewa unajuwa Marekani nao walikuwa wanausoma ule mchezo kwanza kuangalia nguvu ya adui ikoje tena baadae maisha yakawa rahisi sana.Sio kweli. Wala Marekani haijawahi kuficha aina ya Silaha inazozipeleka nchini Ukraine tangu Mwanzoni wa uvamizi wa Urusi Kama kweli umefuatilia mgogoro huu.
Msafara wa Magari ya kivita wa Urusi uliokuwa na urefu wa 64km ilikuwa mwezi wa 3. Marekani ilitangaza kutuma mifumo 4 ya HIMARS tarehe 16 Julai. Kwahiyo HIMARS hazikuhusika katika kuusambaratisha msafara huo wa Urusi.
Kama HIMARS zingelikuwepo Mwanzoni wa uvamizi basi Urusi isingeliweza kabisa kuyateka maeneo Yale kwa haraka Sana. Ukicheki Ramani ya Ukraine utagundua kwamba,Tangu Majeshi ya Ukraine yapatiwe Mifumo ya HIMARS basi Urusi haijateka mji wowote ule. Miji ilitekwa kwa haraka kabla ya ujio wa HIMARS.
Nasema walikuwa wanaenda kiboya kama wanasindikiza harusi hata hizo Javeline zitakuwa zimewasurubu sana..kipindi hiko hata HIMARS zilikua hazijaja bado. kulikua na javeline
Kwani kaanza kupewa Leo hizo silaha!?..na watu Wana 25% ya ukraineukiwa kichaa ficha ukichaa wako wengine wasijue , hizo silaha Ukraine kaanza kupewa kipind Urusi ipo km 11 kuingia kiev leo hii Urusi anaikimbia Kherson kurud nyuma zaid , bado uzuz wako unakuambia silaha za west ni mbwembwe wkt hao mabasha zako wanachukua kwenda kujifunza wapate kutengeneza za kwao , Ukicha uwe unauficha , JF imekuwa na watu wa mitizamo ya ajab sana tofaut na enz hizo waliokuwa wanatuvutia kusoma humu kwa mitizamo kuntu isiyo na mahaba